Mbowe oooooyeee ata pombe analijua hilo big up
Sio pombe Bali gongo maana huko kwao pombe ni gongo tu
Mbowe oooooyeee ata pombe analijua hilo big up
Mbowe level nyingine kisiasa....wapi Wasira? Chadema itakufa baada ya mwaka mmoja. Hahahaha
please kwa faida ya wengi tunaomba hiyo video hapa mkuu tupate madini ya huyu Gwiji la Siasa.niliwahi kumwangalia akiwa ana present nchi fulan huko ulaya,hadi nikasema yes,we can! jamaa ana confindence na english nzuri sana!