Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Proffesor Mbowe nakupenda sana wewe ni shujaa hapa Tanzania
 
Hivi kuna hoja ya kujadili hapa au mnapatana kwa kuwa mna mitazamo inayofanana tu? yaani hata humjavuka mto mnaanza kujifariji kuwa tayari mmevuka huku mkisahau mko kwenye maji ambayo mamba ndio nyumba yake!!!
 
Uzuri wa Mbowe ni shujaa aliyeonyesha ujasiri mkubwa wa kutia moyo kufariji na kuhamasisha kunako mapigano makali katika mstari wa mbele vitani. Makamanda wengine pigano lilipokua kali ndipo walipo onyesha hofu zao, lakini sii kwa Mbowe. Mungu akubariki kamanda Mbowe.
katika siasa sijawahi kukusikia ukimtukana mtu wala kumdharau kwa hali aliyo nayo bali kupingana katika ulingo kwa hoja.
again I salute you Freeman!!
.
 
Watanzania wanahitaji mabadiliko ya kiuchumi,hawahitaji majungu fitina wala mapambo ya maisha.Watanzania wanahitaji kiongozi mwenye sera za kuikomboa Tanzania siyo kuiangamiza tanzania.Tunachohitaji kila mgombea atuambie ataifanyia nn tanzania ili ifike kwenye uchumi wa kati? strategies & Target
 
mbowe.jpg
safi sana kwa picha ya bilionea Mbowe .
 
Wapinzani wasio na bei Bongo ni Kamanda mboe na maalim sefu..... wengine wana bei.... hongera kamanda mboe na maalim sefu... kazi yenu inaanza kuzaa matunda...
 
Self Improvement and Personal Real Life Achievement
Hali si shwari ndani ya Ccm kwa ujumla. Hali tete imejitokeza ghafla na Sasa ni vikao kila kona, tunasubiri
*********************************************
************************************
Kikao cha dhalura chaitishwa Kamati kuu: sumaye atikisa chama na Sasa mpango mkakati waundwa, tutawajuza kinachojiri huko Lumumba.
Ipo hatari ya mtu kung'ang'ania Ikulu:
Fundi Mkuu Anasema
Patamu sana, Sumaye wa Mkapa, Lowassa wa Kikwete, hakuna siri tena hapo, Mwandosya atatueleza kuhusu IPTL, kuna hatari mtu kung'ang'ania ikulu hapa, Maanake akiachia tu madaraka kisutu inamhitaji.
Yericko Nyerere anasema Wakijichanganya tu, ataweka siri zote za wizi wa Simba trust uliofanywa na familia ya Mzee huu mwaka mtamu, Torongey Mathayo hii ndiyo nafasi kuwaumiza.Ngoja tuone hapo.
Kwakweli kunahaja kubwa ya kumtunuku Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake, Leo ameweza kuwaunganisha makundi yote hasimu na mengineyo, Leo sumaye na Lowasa waliokuwa maadui wanacheka pamoja?
Aaah Mbowe nakupa cheo cha Rafidainian Order First Class, ROFC, Hiki ni cheo cha juu kwa jasusi mwenye taaluma zote ndani ya idara ya ujasusi duniani, yaani mpanga mikakati, na mtekeleza mikakati ikiwemo uwezo mkubwa wa wa diplomasia ya kijasusi. Nawiwa na furaha na kuona taifa jipya la Tanzania likizaliwa mikononi mwa Mbowe.
Nakupa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Navutiwa kuona Mbowe unakuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania baada tu ya kulikomboa taifa hili, naamini utafanya mapinduzi makubwa sana ya Idara hii nchini;
 
Najifunza kwa Hon. Mbowe kuwa ili upate mafanikio ni muhimu na lazima kuwa na uwezo wa kufanya, kusimamia na kuishi maamuzi...
Maamuzi wengi wanafikiri ni jambo la miujiza lakini ukweli maamuzi ni maneno mawili tu NDIYO/HAPANA...
Inahitajika busara, ujasiri, umakini, uzoefu, utambuzi, utayari, uthabiti, uvumilivu, utafiti, n.k kuweza kufikia maamuzi.... yaani kusema na kuishi NDIYO/HAPANA...

Kwamba NDIYO itumike panapostahili na HAPANA panapostahili...... (Tafakari vile vile matumizi ya BARIDI/MOTO au DAWA/SUMU)..

Kufanikiwa au kutokufanikiwa hutegemeana na uwezo wa mtu kufanya maamuzi ya NDIYO au HAPANA... Na kanuni kubwa ya hayo maamuzi ni kuwa lazima yazingatie muktadha husika.

Wengi wana lazimika kusoma madarasa mengi ili tu kusaka uwezo wa kufanya maamuzi ya manufaa kwenye maisha.... Uwezo wa kusema na kuishi NDIYO/HAPANA...
Lakini pia wapo wengi ambao hawahitaji kusoma elimu ya madarasa rasmi ili kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi yenye tija kwenye maisha...!! Walizaliwa na karama hiyo, wanajitambua na hawatetereki...!!

SHIKAMOO MBOWE!!
 
Dj namkubali sana, hawa ndiyo Maprofesa wa ukweli.
 
Sijaona mtu akiabudiwa na kusifiwa kiasi hiki. Page ya nane sasa hakuna hata comment moja negative. Hata Faiza Foxy na Lizaboni leo hawako. Kazi kweli kweli!
 
Sijaona mtu akiabudiwa na kusifiwa kiasi hiki. Page ya nane sasa hakuna hata comment moja negative. Hata Faiza Foxy na Lizaboni leo hawako. Kazi kweli kweli!

Usiseme page 8, taja comments ya ngapi, maana ana set up ya page, kwa mfano mimi ni page ya 2 comments ya 83.
 
Usiseme page 8, taja comments ya ngapi, maana ana set up ya page, kwa mfano mimi ni page 2 tu.
Mimi nimependelea kusema page. Uko huru kutaja idadi ya comments zilipofikia. Nchi ya demokrasia hii ati!
 
Mim Gamba ila sitaki unafiki....

Freeman mbowe ni mwanasiasa mahiri...just to see sumaye and lowassa laughing together and coming together...

Najivunia kwa kuwa ni mtz mwenzangu..!
 
TETESI ni kuwa the next kigogo toka CCM ni mzee Joseph Butiku yuko njiani anakuja kuungana na upinzani kuindoa CCM yao!!

Kesho CCM wanazindua kampeni yao. Kesho kila mmoja ataipata picha ya vigogo wengine wanaokuja kuungana na upinzani kuisambaratisha CCM.

See you tomorrow!

Mimi naamini kigogo anaefuata ni Dr. Bilal. Huyu anaifuta CCM Zanzibar! Tatizo amefichwa, ni lini ataachwa loose? It's a time bomb!
 
Back
Top Bottom