Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Wapo waliosema chadema inaongozwa na akili ndogo, ati wao wana akili nyingi hivyo wanakwenda kuanzisha chama chao,

Sijui wamefia wapi, hata ubunge wataukosa mwaka huu

kaka kale kajamaa kalijiona kenyewe ni maarufu zaidi ya chama,kaka jaa kiburi na jeuri.

Sasa kanajuta sana maana kangepata shavu la kutosha kisiasa kangekuwa chadema leo,

sasa UKAWA iyooooooooo ikulu,
 
exactly Nyerere alitukomboa dhid ufedhuri wa kikoloni lakin maendeleo ya kwel na ya uchumi wa kati yataletwa na dkt freeman .a.mboye
 
huyu mbowe nilianza kumkubali alipowahi kuhojiwa , walikua na Hamad Rashid kipindi kile alizungumzia suala la Kiongozi wa upinzani bungeeni kwanza alimgaragaza sana Hamad Rashid. Namkubali sana ana upeo mkubwa ni kijana machachari mwenye uelewa zaidi ya Maprofesa wa Kikwetu.

Anajua mission nyingi hata alipoongea suala la barabara bungeni aliulaumu uongozi huu kwa kijijengea kibarabara cha miaka ya 60. Naamini Ukawa wakitawala huu mfumo wote utabadilishwa.
 
Nashauri tumwongezee PhD in Politician Engineer Yericko N. Angelia namna ya kuiset hiyo kwani Tz mpya I naenda kuzaliwa ndani ya mikono ya Mbowe.
 
Jamani kwa mahali tulipo fika nachukua fursa hii pia kumpongeza mh.Mbowe huyu prof,ni mtu makini sana ata ukiwa unamsikiliza anapo ongea kwa wale tulio jaliwa upeo wa kusikiliza ni mtu ambaye yuko strategic sana tunamshukuru Mungu kutupatia Mbowe ambaye hata Magufuli anamkubali sana mbowe
 
niliwahi kumwangalia akiwa ana present nchi fulan huko ulaya,hadi nikasema yes,we can! jamaa ana confindence na english nzuri sana!
 
Wapo waliosema chadema inaongozwa na akili ndogo, ati wao wana akili nyingi hivyo wanakwenda kuanzisha chama chao,

Sijui wamefia wapi, hata ubunge wataukosa mwaka huu

mkuu unajua hata sumaye walimvizia ukawa wamewapiga bao?
 
Wanabodi,Huyu Mbowe wetu tuliambiwa na Kitila na Zitto kuwa too local
 
Back
Top Bottom