huyu jamaa ni true hustler, ni mtoto wa town kinyama, ni mjanja and exceptionally intelligent and informed, very visionary na mwenye malengo mapana na ya mda mrefu (with long term strategic plans). ni mpiganaji na mwanaharakati wa ukweli na wa viwango vya kimataifa.Kwakweli kunahaja kubwa ya kumtunuku Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake, Leo ameweza kuwaunganisha makundi yote hasimu na mengineyo, Leo sumaye na Lowasa waliokuwa maadui wanacheka pamoja?
Aaah Mbowe nakupa cheo cha Rafidainian Order First Class, ROFC, Hiki ni cheo cha juu kwa jasusi mwenye taaluma zote na uzoefu wa mission ngumu ndani ya idara ya ujasusi duniani, yaani mpanga mikakati, na mtekeleza mikakati ikiwemo uwezo mkubwa wa wa diplomasia ya kijasusi. Nawiwa na furaha na kuona taifa jipya la Tanzania likizaliwa mikononi mwa Mbowe.
Nakupa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Navutiwa kuona Mbowe unakuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania baada tu ya kulikomboa taifa hili, naamini utafanya mapinduzi makubwa sana ya Idara hii nchini
huyu jamaa ni true hustler, ni mtoto wa town kinyama, ni mjanja and exceptionally intelligent and informed, very visionary na mwenye malengo mapana na ya mda mrefu (with long term strategic plans). ni mpiganaji na mwanaharakati wa ukweli na wa viwango vya kimataifa.
Mbowe ni uthibitisho na kielelezo cha uongo wa kauli za baadhi ya wazungu kuwa wafrika hawana akili. waafrika wenye IQ za juu wapo wengi tu na mbowe Freeman Aekael ni mmoja wao.
Salute Kwako Kamanda Mbowe!!
Mbowe ni zaidi ya Mwenyekiti wa chama aisee hata yule jamaa aliyetaka kumpindua huyu jamaa awe yeye mwenyekiti sijui alikuwa na akili gani...
Not so fast. Subiri kwanza tuone kama Lowassa atashinda. Akishinda Mbowe will be remembered as a political genius. Akianguka UKAWA itasambaratika na CHDM will never be the same. Na kwa hili atakumbukwa kama mwanasiasa akili ndogo aliyeua upinzani kwa kukaribisha mafisadi kwa tamaa zake za fedha. Iacheni historia ifanye kazi yake!Akili ya Mbowe ni kali.Ni mwanasiasa ambaye historia itamkumbuka tu.2015 ni muhimu tukaanza kumuenzi.
Kwakweli kunahaja kubwa ya kumtunuku Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake, Leo ameweza kuwaunganisha makundi yote hasimu na mengineyo, Leo sumaye na Lowasa waliokuwa maadui wanacheka pamoja?
Aaah Mbowe nakupa cheo cha Rafidainian Order First Class, ROFC, Hiki ni cheo cha juu kwa jasusi mwenye taaluma zote na uzoefu wa mission ngumu ndani ya idara ya ujasusi duniani, yaani mpanga mikakati, na mtekeleza mikakati ikiwemo uwezo mkubwa wa wa diplomasia ya kijasusi. Nawiwa na furaha na kuona taifa jipya la Tanzania likizaliwa mikononi mwa Mbowe.
Nakupa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Navutiwa kuona Mbowe unakuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania baada tu ya kulikomboa taifa hili, naamini utafanya mapinduzi makubwa sana ya Idara hii nchini
Umesema vyema sana kwamba Mbowe ni jasusi hakika ni jasusi. Kwani jasusi anaua bila hata huruma; jasusi huweka vile anavyovitaka yeye mbele bila kujali kama vitafaa kwa wote au hapana. Kwa alichokifanya kwa kumuweka Lowassa kama mgombea uraisi hakika ni jasusi haswaaa ambaye ametanguliza mahitaji yake mbele bila kujali adhari zake.Kwakweli kunahaja kubwa ya kumtunuku Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake, Leo ameweza kuwaunganisha makundi yote hasimu na mengineyo, Leo sumaye na Lowasa waliokuwa maadui wanacheka pamoja?
Aaah Mbowe nakupa cheo cha Rafidainian Order First Class, ROFC, Hiki ni cheo cha juu kwa jasusi mwenye taaluma zote na uzoefu wa mission ngumu ndani ya idara ya ujasusi duniani, yaani mpanga mikakati, na mtekeleza mikakati ikiwemo uwezo mkubwa wa wa diplomasia ya kijasusi. Nawiwa na furaha na kuona taifa jipya la Tanzania likizaliwa mikononi mwa Mbowe.
Nakupa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Navutiwa kuona Mbowe unakuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania baada tu ya kulikomboa taifa hili, naamini utafanya mapinduzi makubwa sana ya Idara hii nchini
Hapana chezea hiyo kitu! Msimu huu jamaa upepo umewakalia vibaya xana kila safu wanayoipanga wanadream kushindwa tu. Ngoja kesho pale Jangwani wajionee TSUNAMI alafu wajilinganishe na mafuriko yao ya juzi yale.
Umesema vyema sana kwamba Mbowe ni jasusi hakika ni jasusi. Kwani jasusi anaua bila hata huruma; jasusi huweka vile anavyovitaka yeye mbele bila kujali kama vitafaa kwa wote au hapana. Kwa alichokifanya kwa kumuweka Lowassa kama mgombea uraisi hakika ni jasusi haswaaa ambaye ametanguliza mahitaji yake mbele bila kujali adhari zake.
Na ninarudia tena sielewi aliyewaroga UKAWA hadi mkapigwa upofu namna hiyo kiasi cha kujidhalilisha na kujianika kuwa nyie ni watu msiokuwa na misimamo.
Eti Dr.Agnes Kijazi amesema kutakuwa na ELNINYO ,ambayo inategemea kuisha jumapili jioni.:twitch: