Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Khaa!! Mbowe huyu aliiyeuza chama chetu kwa majizi? Unaumwa wewe..
 
Nimetafakari mikikimikiki ambayo Kamanda Mbowe amepiti kwa kupambana na chama tawala CCM kilichotumia mbinu mbalimbali ikiwemo mabomu, risasi, kesi na kuwatumia wasaliti, akina Kabour, Zito, Machange, Mwigamba, Mkumbo na wengine wengi na sasa huyu KINGUNGE WAO DR.SLAA, Duh! yaani kaaaazi kwelikweli. Nimekubali Mbowe ni Field Marshar. Kama angekuwa maskini kama ambavyo CCM wanataka watu wawe angeishauza chama zaaamaaaniiii!! Kumbe utajiri ni muhimu. Lowasa Chukua nchi utujaze utajiri tuache kudhalilishwa wakati tuna kura zetu mkononi. UKAWA wakiingia ikulu, huyu bwana atafutiwe tuzo ya heshima.
 
siasa za kimaskini hazina ushindani...
 
PAPA1 una akili sn kugundua hli.Mimi nimeweka as whatsapp profile picha kwa maneno yake haya" Tuko ktk mapambano,ikitokea nimekufa msilie,msisikitike wekeni mwili wangu pembeni endelezeni mapambano''.Yalikuwa quoted ktk chadema News.Huyu mtu anastahili nishani kabisa.
 
Kwelii kabisaa yani naye angekuwa masikini tungeua chama
 
Ukiwa mwanasiasa maskini,watakua wanakununua kila siku. Watakugeuza kama chapati.
 
ukawa toleo jipya haifai kupewa dhamana ya kuongoza taifa hili pendwa la jmt, ni genge la wahuni, wasaliti wa misingi yao, vigeugeu, wanafiki na wazandiki waliotukuka, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, tumeshasema kwa wingi kuwa hatutachagua ukawa toleo jipya.
mliotolewa ufahamu endeleeni na uzezeta wenu.

ndio hivyo
 
</script>_Editor_001_textarea" rows="10" cols="15" style="width:100%; height:100px" dir="ltr">
UKAWA TOLEO JIPYA HAIFAI KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA TAIFA HILI PENDWA LA JMT, NI GENGE LA WAHUNI, WASALITI WA MISINGI YAO, VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAZANDIKI WALIOTUKUKA, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, TUMESHASEMA KWA WINGI KUWA HATUTACHAGUA UKAWA TOLEO JIPYA.
Mliotolewa ufahamu endeleeni na UZEZETA WENU.

you must be in a psychatris ward right now kwani schizophrenia inakumaliza. Wewe nani hadi uwaamulie wapenda mabadiliko nini la kufanya october? Endelea kula dawa.
 
Sarutii kwa Mbowe umekuwa mboni ya watanzania ktk ukomboz wa taifa letu... Tunahitaji viongoz wasiohongeka Kama Mbowe
 
Mbowe ni mpambanaji asiyechoka. Tangu alipokabidhiwa Chadema amekipandisha sana chama. Kila mwaka kimekuwa kikikuwa kwa kasi sana. Kweli yeye ni Daktari wa siasa. Na mwaka huu Safari ya ikulu imeiva. ndio maana wale jamaaa walikuwa wanafanya mkakati wa kumuondoa ili wasambaratishe chama.
 
Mbowe ni zaidi kiongozi anaongoza chama kama baba mwenye Upendo na familia alimwezesha Zito Kwa kila alicho itaji amemwezeaha Dr Slaa mpaka mwenyewe amekiri alimjegea ntumba anayoishi ila wote wamegeuka na kuwa kinyume nae bado atetereki kauli yake ya ajabu sana chadema ameijenga kuwa chama cha wananchi na sii cha viongozi anasema atakama akiondoka yoyote bado chama kiko imara ba ndivyo ilivyo Magofuli akipo kwenda hai alimsia sana huyo ndiyo Mbowe anaetengeneza istoria ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom