Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Hongera mkuu.
Ila kampeni hii imekaa kibaguzi sana aise.
Huku mitaani kuna watu ambao hawakupitia mafunzo ya kijeshi sasa wana hamu ya kua miongoni mwa jeshi la akiba lakini hawajui wapi waanzie,by the way hongera sana na ukirudi salama usisite kutujuza.
Hongera bw Lameck, ushauri wangu kwako japo cku za nyuma niliwahi kukwambia cpendezwi na aina ya saisa uzifanyazo, naamini ulijaribu kutafakari na kuona mapungufu fulani ktk siasa zako sasa nakushauri kupitia hiyo fulsa hadhimu jaribu kubadilika na kuwa mzalendo wa kweli wa nchi na c wachama pambana kuitetea nchi chukia ufisadi ambao chama chako ndio kimekuwa mama wa ufisadi epuka kupinga hoja za zamsingi na za kweli eti kwakuwa zimetolewa na upinzani hasa chadema na NCCR.tanguliza maslahi ya nchi na wananchi na c ya chama ambacho kwa hakika unatambua mapungufu madhambi na madhahifu yake.mwisho kama kweli umed dhamiria mafunzo ya JKT yatakufanya uwe c mwigulu yule wa siasa za chuki ghiriba matusi na dharau bali mwigulu mwenye siasa za kuheshimaiana kujenga hoja kuvumilia na kutetea nchi kwa maslai ya wote,asante na nakutakia mafunzo mema Mungu awakulinde na kuwatunza wewe na wote mtakaohudhuria mafunzo hayo.Wana jf salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU. Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu /tuition hii ya bure itowayo elimu ya maisha ie jf.
Barua imeonesha muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu
Haya bwana kila la kheri 'Kamanda', hope utarudi salama.
Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.
Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya!
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
mkuu hiyo ni kamanda placeboEdit kwenye kamanda weka KADA pls mkuu.