mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,170
Nifungiwe kwa kuvunja kanuni zipi za JF? Leta kanuni niloivunja, oh sikushngai manake wanaCCM mkiambiwa ukweli mwalalama kuwa mnatukanwa. Matusi yepi niloyatoa?Wacha matusi. Jenga hoja. Moderator fungia huyu mtu, hana adabu hata kidogo.
Jifunze kuquote mkuu unanichanganyia habari tu hapa!!! Hakuna mtu anayekuwa na umri kati ya 35-37, ni either 35, 36 or 37. Hii habari za btn siyo lugha kuelezea umri mkuu!!!!Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya! He is btn 35-37 mzee Huyu?
Watafanya miezi sita kwa sasa, ila hawa waHeshimiwa nasikia wanaenda Wiki 3 tu.
Wiki Tatu? Serious? what the ****? JKT - Jeshi la Kujenga Taifa? Three Weeks? Real? You must be joking...!
Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.
Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya!
Mmm, hadi Pasco amekupa like!? Kazi nzuri my dada
miezi sita tu.
Wewe inaelekea hulijui jeshi. Pale hata ukikaa masaa 12 tu unajifunza vitu kibao. Somo kuu huwa ni NIDHAMU kwa chain of command. .