Minafkiri waheshimiwa mnakwenda kama seminatu nakuongeza CV flani hivi yakupandia majukwaani. Naamini hamtofanya mafunzo halisi, mambo mengi sana hayato fanywa mkiwepo kwa nafasi zenu kisiasa, kimsingi uheshimiwa wenu utawakosesha mambomengi yamsingi sana yanayo mtofautisha, mtu aliyepita mafunzo ya kijeshi na ambaye hakupita kwamfano, kutolewa uraia ndani ya wiki 6 zakukesha bila kulala mkimwagiwa maji nawakati mwingine kuchapwa viboko na mikanda ya jeshi mkiimba usiku kucha huku mkifanya kazi za ovyo ovyo na bila kuoga kufua wala kuvua combat wala buti wala soksi, namengine mengi ambayo siwezi andika yote hapa. Amini nawaambia hakuna muheshimiwa anaeweza vumilia walao kwasiku tatu kwamafunzo halisi ya JKT.