Ninakulaumu RPC Ramadhani Kingai kwa ushahidi unaoleta utata kwa Taifa

Hizi siyo penati tano tano kwamba mpigaji wa kwanza akivurunda timu inaishiwa morari!
Kwa boko alilopiga Kingai hata kipa wao kaishiwa nguvu. Ushahidi unapangwa kwa umuhimu na mpangilio. Kama wa Kwanza ndo Huyo aliyefanya op yote, hao waliosimuliwa watasema nini?
 
Kiukweli Kingai ameliaibisha Jeshi la polisi. Na hili liwe funzo kwa hii tabia yao ya kubambikia raia wema kesi zisizo na mashiko.
 
Uongo unasifa zake mara zote na mojawapo wa viashiria ni hivyo alivyoonyesha mkubwa huyo ss

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Wapo kiongozi nawafahamu kadhaa. Sio busara kutaja watu kwa majina yao hapa bila sababu za msingi.
Hakuna, tokea akina maleko form foo yupo yupi mtaje kwa kutumia hiyo hiyo busara yako unayoijua.

Namjua mama mmoja wa magereza mumewe aliunga unga hadi kufikia masters ila ndo hao ukimsimamisha hapo lazima aombe kwenda haja kubwa kwanza
 
Mutasubiri saana,.......
the way I see it ni kwamba next week neno BREAKING NEWS litatamalaki kwenye media huku likibeba maelezo "DPP hana nia ya ........."
Hakuna mtu mwenye akili timamu yuko radhi kuvuliwa nguo hadharani.
Hivi yule Jaji wa kwanza hadi hapo anajisikiaje?
 
Hii tabia ya kujiita msomi imemkera mzee jobo pale jengo tukufu Dodoma πŸ˜… naona vijana hamtaki kuacha
 
Kwa boko alilopiga Kingai hata kipa wao kaishiwa nguvu. Ushahidi unapangwa kwa umuhimu na mpangilio. Kama wa Kwanza ndo Huyo aliyefanya op yote, hao waliosimuliwa watasema nini?
Huyu ndiye aliyehusika na operation nzima, alifaa atoe ushahidi usioacha chembe ya shaka, hivyo kuwafanya wengine waje kuhitimisha tu na hivyo hukumu kwa Mbowe kuchukua mkondo wake.

johnthebaptist
 
Wapo.
Kuna ma RPC wawili walisoma Lushoto judicial college.
Mmoja alisoma Korogwe TTC. ILa afande Rama sijui alikosomea.
Hivi kusoma Korogwe TTC unaweza kumuweka kwenye list ya wasomi?? Kwa faida yako, kuna graduates wa University wenye first degrees na hata Master's degrees ndani ya jeshi la polisi na hata majeshi mengine. Lakini kutoa mfano wa TTC kwamba ni msomi, hiyo ni level ndogo mkuu.
 
Yaaani hata mimi sijui sheria lakini nimecheka sana!Auvaliamka na faida ya faru john!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…