Ninakulaumu RPC Ramadhani Kingai kwa ushahidi unaoleta utata kwa Taifa

Unataka kuniambia Tanzania Kuna polisi mwenye master's degree?
Mbona hawajampa u IGP?
IGP hapatikani kwa level ya elimu. Rais anaweza akampandisha SACP hadi kuwa IGP, akawaacha ambao ni DCP au CP. The same to CDF, Rais anaweza akampandisha Major General (two star General) kwa mfano, na akawa Full General (four star General), yaani CDF. Kupanda kwa ranks hasa za juu zaidi, hakulazimishwi na shule. Shule itasaidia kufikia ranks za juu lakini siyo kwa kiwango cha IGP au CDF. Hata kama mtu ana PhD, hawezi kuwa IGP au CDF eti kwa sababu ana elimu hiyo. Kumbuka hizi ranks za juu zaidi zinapandishwa na Amiri jeshi mkuu, hivyo mapenzi yake yana matter pia.
 
HI
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je, RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi?

Je, RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha?

Je, RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya?

Je, RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema

Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri?

Je, RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi?

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Hivi kama shahidi hajui Sheria lakini tukio kalishuhudia na kaitwa kutoa ushahudi mtamuuliza vifungu vya Sheria anavijuwa? Yeye anaeleza anachokijuwa mengine yanabaki kwa jaji hao jamaa hawana pa kutokea
 
Kuna ushahidi wowote umeuona au kuusikia mpaka sasa unaoonyesha "hao jammaa" hawana pa kutokea?

Wewe kilaza kwa taarifa yako kinachojadiliwa mpaka wakati ni kesi ndogo tu kwanza kama polisi walifuata utaratibu kuwakamata, kuwapeleleza bila mateso na kuwafungulia mashitaka "hao jamaa".
Kesi kubwa bado hata haijaanza kusikilizwa,kaa kwa kutulia, endelea kunywa mtori nyama utazikuta chini.
 
Kwanza yeye mwenyewe ana kasura ka kigaidi kabisa kichwani hewa kabisa RPC mzima haelewi maelezo ya kwenye charge sheet ndio ushahidi wake uwe adduced mahakamani huyu atolewe hapo kinondoni akasimamie kikosi Cha mbwa.
 
Nafikiria tu na jibu Sina, inakuwaje mtu unaenda kutoa ushahidi WA uwongo!? Kwa Faida ya nani!? Hivi watu hawajui Luna karma!?
 
H
Kuna ushahidi wowote umeuona au kuusikia mpaka sasa unaoonyesha "hao jammaa" hawana pa kutokea?

Wewe kilaza kwa taarifa yako kinachojadiliwa mpaka wakati ni kesi ndogo tu kwanza kama polisi walifuata utaratibu kuwakamata, kuwapeleleza bila mateso na kuwafungulia mashitaka "hao jamaa".
Kesi kubwa bado hata haijaanza kusikilizwa,kaa kwa kutulia, endelea kunywa mtori nyama utazikuta chini.
IZo nyama zilizoko chini sasa ni balaambowe lazima ale mvua
 
Unasambaza matango pori lakini mwisho wa siku Mbowe atapatikana na hatia, na atafungwa kwa mjibu wa sheria
Kwa ushahidi upi? Huu wa kingai? Utakuwa unaota! Unamfahamu vizuri huyo jaji anayeisikiliza hiyo kesi? Kwa taarifa Yako huyo jaji ni mtu humble mno na hanaga biasness! Jiulize ni kwanini aliruhusu kesi ndogo kusikiliza badala ya kesi ya msingi? Anakwenda kuitupa kesi ya msingi nje na atapata sifa kutoka Kwa wapenda haki wote including majaji na mawakili wa serikali unaowaona humor ndani! Huyu jaji anakwenda kuandika historia Kwa kujifanya mahakama ya haki kuzaliwa upya!
 
HI

Hivi kama shahidi hajui Sheria lakini tukio kalishuhudia na kaitwa kutoa ushahudi mtamuuliza vifungu vya Sheria anavijuwa? Yeye anaeleza anachokijuwa mengine yanabaki kwa jaji hao jamaa hawana pa kutokea
Huna unalojua wewe! Ukamataji Gani ule usiokidhi vigezo vya kisheria? Mtu anakuqmuru TU simamaa au lala chini huku hajajitambulisha kwako hilo ni kosa Kwa mujibu wa pgo! Na jaji haamui kesi Kwa mtazamo wake bali Kwa vifungu vya Sheria vilivyothibitishwa na mashahidi pasi na shaka kuwa vimevunjwa.
Mkamataji, mwandika maelezo, mshitaki na shahidi ni mtu mmoja yaani kingai! Mpaka hapo jaji anaitupa kesi kule jalalani!
 
Back
Top Bottom