Ninakulaumu RPC Ramadhani Kingai kwa ushahidi unaoleta utata kwa Taifa

Kwanza yeye mwenyewe ana kasura ka kigaidi kabisa kichwani hewa kabisa RPC mzima haelewi maelezo ya kwenye charge sheet ndio ushahidi wake uwe adduced mahakamani huyu atolewe hapo kinondoni akasimamie kikosi Cha mbwa.
Hata mbwa naamini wanahitaji kuongozwa na mtu mwenye utulivu wa ubongo.
 
Matumizi makubwa ya nguvu kwa jeshi la polisi yanatokana na uwwezo wao mdogo. Sasa kama RPC ndio anaongea ule utoto, hao anaowaongoza ni wajinga kiasi gani?

Ndio maana watawala inakuwa rahisi kuwaagiza polisi kutenda nje ya sheria, kwani wengi ni wajinga na hawana uwezo wa kuhoji, bali kutii kila kitu ili wapate upendeleo wa kupanda vyeo wajitajirishe kwa rushwa.
hapo unapata picha kwanini yule kamanda wao nae yuko vile!!!
 
Tatizo mnaona kwamba dunia na kila kilichomo mnakiongoza nyinyi hamjui kwamba Mungu ndiye mpangaji na mpanguaji ya yale mnayoyapanga kwa wengine.

Yeye ndiye mkamataji,mpelelezi yeye, mfungua kesi yeye na shahidi yeye mwenyewe aliona akifanya hivyo ndio atammaliza Mbowe na chadema yake akasahau mkono wa Mungu uliona nguvu kubwa.

Aibu amepata na kumuachia mtamuachia In shaa Allah.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaa alijua mahakama ni kama baraza la Lumumba kada wa mataga
Policcm hakuamini kilichomkuta

Shikamooo wakili msomi Kibatala

Na hapo angekuwepo Tundu Lissu
Hakika hiyo combination ingekua hatari kama atomic bomb kule Hiroshima!
😁😁😁😁
Angekunya kizimbani nyambaf , jitu limepata zero eti kamanda wa sijui mkoa crap
 
Hivi kusoma Korogwe TTC unaweza kumuweka kwenye list ya wasomi?? Kwa faida yako, kuna graduates wa University wenye first degrees na hata Master's degrees ndani ya jeshi la polisi na hata majeshi mengine. Lakini kutoa mfano wa TTC kwamba ni msomi, hiyo ni level ndogo mkuu.
Unataka kuniambia Tanzania Kuna polisi mwenye master's degree?
Mbona hawajampa u IGP?
 
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je, RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi?

Je, RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha?

Je, RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya?

Je, RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema


Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri?

Je, RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi?

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Kingai ni RCO wa taifa yaani yuko amesajiriwa arusha lakini anafanya kazi tz yote ni omnipresence
 
Back
Top Bottom