Ninakulaumu RPC Ramadhani Kingai kwa ushahidi unaoleta utata kwa Taifa

Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je? RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi

Je? RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha

Je? RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya

Je? RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema

Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri

Je RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Kwanza yeye mwenyewe ana kasura ka kigaidi kabisa kichwani hewa kabisa RPC mzima haelewi maelezo ya kwenye charge sheet ndio ushahidi wake uwe adduced mahakamani huyu atolewe hapo kinondoni akasimamie kikosi Cha mbwa.
 
Matumizi makubwa ya nguvu kwa jeshi la polisi yanatokana na uwwezo wao mdogo. Sasa kama RPC ndio anaongea ule utoto, hao anaowaongoza ni wajinga kiasi gani? Ndio maana watawala inakuwa rahisi kuwaagiza polisi kutenda nje ya sheria, kwani wengi ni wajinga na hawana uwezo wa kuhoji, bali kutii kila kitu ili wapate upendeleo wa kupanda vyeo wajitajirishe kwa rushwa.
Ndio haswa mantiki ya kitendo cha kumpigia saluti mkubwa kumwambia "Sina akili afande, nipe amri"!!
 
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je? RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi

Je? RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha

Je? RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya

Je? RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema

Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri

Je RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Kesi imeshaporomoka hiyo! Ama ni kwa makusudi au kwa udwanzi wa policcm, lakini kesi imekufa! Ni swala la wakati! #MboweSioGaidi
 
Tunasubiri kwa hamu cross examination ya Sirro atakapopandishwa kizimbani kama shahidi upande wa utetezi

Hpo kati patamu, tunamsubiri kamanda mkuu wa CCM, CHANZO CHA MATATIZO ndugu ZERO aje amwage upoyoyo wake.

Mbona watachora chini kwa Kirumi mwaka huu.
Mutasubiri saana,.......
the way I see it ni kwamba next week neno BREAKING NEWS litatamalaki kwenye media huku likibeba maelezo "DPP hana nia ya ........."
Hakuna mtu mwenye akili timamu yuko radhi kuvuliwa nguo hadharani.
 
Polic wamezoea kupachika watu makosa akadhani na mahakamani unaweza msiliba mtu makosa ya uongo!!
aibu Sana, jeshi la polisi lisafishwe!!!
 
Iliyo sheria itabaki kua sheria, isiyo sheria itabaki isiyo sheria, na isiyo sheria ikilazimishwa kua sheria ni mtanziko moyoni kwao na baadae hadharani..

x= 2, find x
 
Back
Top Bottom