Kigoma: RPC Kingai aanza kazi kwa kishindo, akamata bangi tani 1

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366
Mkuu mpya wa Polisi Mkoani Kigoma, Ramadhan Kingai ameanza vema kazi kwenye Mkoa mpya, kwa kumkamata mtuhumiwa sugu wa madawa ya kulevya, Lije Nicholas na kufanikiwa kumkuta na Tani 1 ya madawa hayo aina ya bangi.

Kingai ambaye amepelekwa Kigoma akitokea Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, alipata umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuichambua PGO, ana uzoefu mkubwa wa vita ya dawa za kulevya kutokana na Mkoa aliotoka wa Kinondoni kuongoza kwa Mateja kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu.
 
Mkuu mpya wa Polisi Mkoani Kigoma , Ramadhan Kingai , ameanza vema kazi kwenye Mkoa mpya , kwa kumkamata mtuhumiwa sugu wa madawa ya kulevya Lije Nicholas na kufanikiwa kumkuta na Tani 1 ya madawa hayo aina ya bangi .

Kingai ambaye amepelekwa kigoma akitokea Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni , alipata umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuichambua PGO , ana uzoefu mkubwa wa vita ya madawa ya kulevya kutokana na Mkoa aliotoka wa Kinondoni kuongoza kwa Mateja kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu .
Bangi sio dawa za kulevya, acheni utoto.
 
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hata Mbowe alituaminisha ni gaidi. Huyu Kingai ndie jambazi.
 
Kingai ambaye amepelekwa kigoma akitokea Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni , alipata umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuichambua PGO , ana uzoefu mkubwa wa vita ya madawa ya kulevya kutokana na Mkoa aliotoka wa Kinondoni kuongoza kwa Mateja kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu .

Daah...!!! Hii aya ya mwisho sijui paragraph in fikirishi Sanaa...
 
Back
Top Bottom