Halafu nanga ni yule mwanafunzi wa kijeshi(polisi,magereza,JWTZ au jeshi lolote)ambaye kila akifundishwa kupiga kwata hawezi.Nanga hadi keshokutwa.😂😂😂😂😂Hahahaha
Kwa boko alilopiga Kingai hata kipa wao kaishiwa nguvu. Ushahidi unapangwa kwa umuhimu na mpangilio. Kama wa Kwanza ndo Huyo aliyefanya op yote, hao waliosimuliwa watasema nini?Hizi siyo penati tano tano kwamba mpigaji wa kwanza akivurunda timu inaishiwa morari!
Ngoja wanyooshwe kizimbani kwa maana imeandikwa "Kila mtu atavuna alichopanda"Kwa boko alilopiga Kingai hata kipa wao kaishiwa nguvu. Ushahidi unapangwa kwa umuhimu na mpangilio. Kama wa Kwanza ndo Huyo aliyefanya op yote, hao waliosimuliwa watasema nini?
Halina wasomi.Jeshi la polisi hivi lina wasomi?
Uongo unasifa zake mara zote na mojawapo wa viashiria ni hivyo alivyoonyesha mkubwa huyo ssShahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali
Je? RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi
Je? RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha
Je? RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya
Je? RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema
Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri
Je RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi
Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu
Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana
We are still waiting
Wapo.Jeshi la polisi hivi lina wasomi?
Morari ndio nini?Hizi siyo penati tano tano kwamba mpigaji wa kwanza akivurunda timu inaishiwa morari!
Hakuna, tokea akina maleko form foo yupo yupi mtaje kwa kutumia hiyo hiyo busara yako unayoijua.Wapo kiongozi nawafahamu kadhaa. Sio busara kutaja watu kwa majina yao hapa bila sababu za msingi.
Hahah, kwani uanadhani wakiwa maprof ndo hutoyaona haya? Sisi tuna shida sana ya kutotumia elimu katika matendo yetu. Mbona mada ikibadilika hapa tukiingia kwenye siasa tunaanza tena kukuta Phds na maprof wakifanya mambo ya ajabu?Hata mimi sijui sijawahi ona professor polisi au Dr polisi!!?
Hivi yule Jaji wa kwanza hadi hapo anajisikiaje?Mutasubiri saana,.......
the way I see it ni kwamba next week neno BREAKING NEWS litatamalaki kwenye media huku likibeba maelezo "DPP hana nia ya ........."
Hakuna mtu mwenye akili timamu yuko radhi kuvuliwa nguo hadharani.
Ulikua naye intake moja?CCP Moshi kuna kombania inaitwa Mbuni kwa sababu jirani kuna mbuni anafugwa.Kombania C aka Mbuni Coy.
Hii tabia ya kujiita msomi imemkera mzee jobo pale jengo tukufu Dodoma 😅 naona vijana hamtaki kuachaHahahahaaa alijua mahakama ni kama baraza la Lumumba kada wa mataga
Policcm hakuamini kilichomkuta
Shikamooo wakili msomi Kibatala
Na hapo angekuwepo Tundu Lissu
Hakika hiyo combination ingekua hatari kama atomic bomb kule Hiroshima!
😁😁😁😁
Huyu ndiye aliyehusika na operation nzima, alifaa atoe ushahidi usioacha chembe ya shaka, hivyo kuwafanya wengine waje kuhitimisha tu na hivyo hukumu kwa Mbowe kuchukua mkondo wake.Kwa boko alilopiga Kingai hata kipa wao kaishiwa nguvu. Ushahidi unapangwa kwa umuhimu na mpangilio. Kama wa Kwanza ndo Huyo aliyefanya op yote, hao waliosimuliwa watasema nini?
Hivi kusoma Korogwe TTC unaweza kumuweka kwenye list ya wasomi?? Kwa faida yako, kuna graduates wa University wenye first degrees na hata Master's degrees ndani ya jeshi la polisi na hata majeshi mengine. Lakini kutoa mfano wa TTC kwamba ni msomi, hiyo ni level ndogo mkuu.Wapo.
Kuna ma RPC wawili walisoma Lushoto judicial college.
Mmoja alisoma Korogwe TTC. ILa afande Rama sijui alikosomea.
Yaaani hata mimi sijui sheria lakini nimecheka sana!Auvaliamka na faida ya faru john!Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali