Ninakulaumu RPC Ramadhani Kingai kwa ushahidi unaoleta utata kwa Taifa

Hii tabia ya kujiita msomi imemkera mzee jobo pale jengo tukufu Dodoma 😅 naona vijana hamtaki kuacha
haahaaaha hajui vigezo ili uitwe msomi ni marufuku kuishabikia CCM maana ukiwa huko hata kama una PhD ni sawa na bure mfano yule profesa wa majalala aliyeenda Antananarivo Madagascara kwa dj Andy Rajoelina kuchukua juisi ya pilipili kichaa na kuiita covid vaccine!
😁😁😁
 
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je, RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi?

Je, RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha?

Je, RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya?

Je, RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema

Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri?

Je, RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi?

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Unasambaza matango pori lakini mwisho wa siku Mbowe atapatikana na hatia, na atafungwa kwa mjibu wa sheria
 
Kwani mmesahau ni elimu gani inahitajika mtu kuwa polisi?...tatizo mnatengeneza wenyewe wanajamii...
Hata hao wanaojiendeleza huwa ni kubebwa tu huko vyuon
 
haahaaaha hajui vigezo ili uitwe msomi ni marufuku kuishabikia CCM maana ukiwa huko hata kama una PhD ni sawa na bure mfano yule profesa wa majalala aliyeenda Antananarivo Madagascara kwa dj Andy Rajoelina kuchukua juisi ya pilipili kichaa na kuiita covid vaccine!
😁😁😁
Hahahahahahah inabidi afafanuliwe mzee jobo
 
Haya ndio matokeo ya kupandisha watu vyeo kwa kutumia unyanyasaji wa wapinzani kama kigezo kikubwa hata huyo sijui Kingai amefika hapo kwa kubebwa na sifa hiyo.

Huyo Kingai alitegemea huo muendelezo umbebe tena katika kesi hii ya kubumba ili aweze kupandishwa cheo hali hii ndio udhaifu mkubwa tunaouona ktk jeshi hili la polisi leo.

Jeshi halina kabisa what is called sense of professionalism, the police force works just like the former Rwandan militia group known as Interahamwe.
 
Mutasubiri saana,.......
the way I see it ni kwamba next week neno BREAKING NEWS litatamalaki kwenye media huku likibeba maelezo "DPP hana nia ya ........."
Hakuna mtu mwenye akili timamu yuko radhi kuvuliwa nguo hadharani.
Haswaaaaaaaaaaaa! Kilangila.
 
Mipolisi huwa na mambo mengi sana kwahiyo hata wakati mwingine hayajui yanaenda mahakamani kuongea nini
 
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je, RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi?

Je, RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha?

Je, RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya?

Je, RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema

Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri?

Je, RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi?

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting

Hawafungagi hawa watu kwa sheria na haki, hawajazoea kufanya home work zako! Hii ndo hali halisi, sema hapa are exposed!
 
Back
Top Bottom