Ninakulaumu RPC Ramadhani Kingai kwa ushahidi unaoleta utata kwa Taifa

Hizi siyo penati tano tano kwamba mpigaji wa kwanza akivurunda timu inaishiwa morari!
Kwa boko alilopiga Kingai hata kipa wao kaishiwa nguvu. Ushahidi unapangwa kwa umuhimu na mpangilio. Kama wa Kwanza ndo Huyo aliyefanya op yote, hao waliosimuliwa watasema nini?
 
Kiukweli Kingai ameliaibisha Jeshi la polisi. Na hili liwe funzo kwa hii tabia yao ya kubambikia raia wema kesi zisizo na mashiko.
 
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je? RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi

Je? RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha

Je? RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya

Je? RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema

Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri

Je RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Uongo unasifa zake mara zote na mojawapo wa viashiria ni hivyo alivyoonyesha mkubwa huyo ss

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Wapo kiongozi nawafahamu kadhaa. Sio busara kutaja watu kwa majina yao hapa bila sababu za msingi.
Hakuna, tokea akina maleko form foo yupo yupi mtaje kwa kutumia hiyo hiyo busara yako unayoijua.

Namjua mama mmoja wa magereza mumewe aliunga unga hadi kufikia masters ila ndo hao ukimsimamisha hapo lazima aombe kwenda haja kubwa kwanza
 
Mutasubiri saana,.......
the way I see it ni kwamba next week neno BREAKING NEWS litatamalaki kwenye media huku likibeba maelezo "DPP hana nia ya ........."
Hakuna mtu mwenye akili timamu yuko radhi kuvuliwa nguo hadharani.
Hivi yule Jaji wa kwanza hadi hapo anajisikiaje?
 
Hahahahaaa alijua mahakama ni kama baraza la Lumumba kada wa mataga
Policcm hakuamini kilichomkuta

Shikamooo wakili msomi Kibatala

Na hapo angekuwepo Tundu Lissu
Hakika hiyo combination ingekua hatari kama atomic bomb kule Hiroshima!
😁😁😁😁
Hii tabia ya kujiita msomi imemkera mzee jobo pale jengo tukufu Dodoma 😅 naona vijana hamtaki kuacha
 
Kwa boko alilopiga Kingai hata kipa wao kaishiwa nguvu. Ushahidi unapangwa kwa umuhimu na mpangilio. Kama wa Kwanza ndo Huyo aliyefanya op yote, hao waliosimuliwa watasema nini?
Huyu ndiye aliyehusika na operation nzima, alifaa atoe ushahidi usioacha chembe ya shaka, hivyo kuwafanya wengine waje kuhitimisha tu na hivyo hukumu kwa Mbowe kuchukua mkondo wake.

johnthebaptist
 
Wapo.
Kuna ma RPC wawili walisoma Lushoto judicial college.
Mmoja alisoma Korogwe TTC. ILa afande Rama sijui alikosomea.
Hivi kusoma Korogwe TTC unaweza kumuweka kwenye list ya wasomi?? Kwa faida yako, kuna graduates wa University wenye first degrees na hata Master's degrees ndani ya jeshi la polisi na hata majeshi mengine. Lakini kutoa mfano wa TTC kwamba ni msomi, hiyo ni level ndogo mkuu.
 
Shahidi namba moja kwenye kesi ya ugaidi inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake, RPC Kingai umetuabisha kwa kuchanganya Maelezo yako huku ukiongozwa na wakili wako wa serikali

Je? RPC Kingai hukufahamu kuchanganya Maelezo yako utawafanya mashahidi wanaofuata washindwe wasimamie kitu gani habari za madawa ya kulevya au ugaidi

Je? RPC Kingai hukufahamu wewe ulitangulizwa mbele ili uonyeshe uwezo wako wa kujenga hoja kama unavyojitanabaisha

Je? RPC Kingai hukufahamu ushahidi unatolewa kwa kufuata hati ya mashtaka? Kwa uzoefu wako hukujua mahakamani ni moja ya sehemu ngumu sana, Hati ya mashtaka inaelezea ugaidi wewe unaongelea dawa za kulevya

Je? RPC Kingai hukufahamu kukariri mambo kuna wenyewe, Ni watu wachache wenye uwezo wa kukariri mambo kwa dakika 15 bila kukosea ukiwaambia warudie walichokisema

Je? RPC Kingai hukufahamu kila jambo mahakamani unalotamka linahitaji kifungu cha sheria au maamuzi ya kesi zilizoamuliwa zamani na sio maneno matupu ya kukariri

Je RPC Kingai hukujua Sheria ni taaluma sio nguvu na mikwara inayotumika kuhoji watuhumiwa polisi

Watu wengi wamehoji uwezo wa Polisi hasa wenye vyeo vya juu kusimama mahakamani na kujibu hoja za mawakili wasomi, Mara nyingi Polisi kwa uzoefu wamejiabisha mahakamani aidha kwa kukaa kimya au kujibu Sijui kila kitu

Tunasubiri Maelezo ya RPC Kingai yatakapotumika kumuuliza maswali Yeye mwenyewe, Hakika Itakuwa aibu kubwa sana

We are still waiting
Yaaani hata mimi sijui sheria lakini nimecheka sana!Auvaliamka na faida ya faru john!
 
62 Reactions
Reply
Back
Top Bottom