Ninakomaa na jiji

Ninakomaa na jiji

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Hodi bandugu,

Nilipotea kidogo baada ya kufichwa huko juu milima ya upare. Maisha ya huko asikusimulie mtu, hata vocha ni mpaka usubiri watu waende mjini kupeleka tangawizi wakirudi ndio wariudi na vocha, watu wa kule juu wanajua Nyerere ndio raisi hadi leo. Kwa ufupi kijijini nitarudi kusalimia tu.

Walisema nirudi vunta maisha yamenishinda kwa hapa DSM ila kwa hali niliyoikuta huko nimeona nirudi tu NIKOMAE NA JIJI LA BANDARI SALAMA.

Nimeona nimuige shilole tu hakuna ujanja. NAKOMAA HAPA HAPA, kwa wale mlionitafuta sasa nimerudi rasmi nimejaa tele nazisaka fursa kama Ray C na Zamaradi. Full kubanana hapa hapa.

Shilole~Nakomaa Na JiJi {new song 2013] - YouTube

Copy to Himidini na wengine wooote waliomo humu chit chat.
 
Last edited by a moderator:
Kule kunawatosha wa kule kule. Njoo ukomae bongo na dili la poda ndo limeshakufa.
 

aiseee kweli tulikumiss
ulikua milimani kule kwa kina Eli79
kabisa au ni upare ya america coz umeng'aa!!
 
Last edited by a moderator:
karibu jijini......hapa ni mtakuja tu.....

darisalamu mwanzo na mwisho wa yoote
 
^^
Asante kwa copy Mrembo by Nature karibu mjini tuzisake,ujue ulinipita hapa arusha.
Anyway nisi seme mengi kwani kijiwe cha chit chat si mdau wake tena..karibu MMU
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom