Ninakomaa na jiji

Ninakomaa na jiji

Pole sana my dia, nadhani hata vigimbi vimekuota maana milima ya kwenu si haba.
 

aiseee kweli tulikumiss
ulikua milimani kule kwa kina Eli79
kabisa au ni upare ya america coz umeng'aa!!

Haha...ushaanza uchokozi tayari
Alikuwa sehemu inaitwa Vunta...mi kwetu Vudee...hehe!
Afu ukumbuke bado nazichanga ili twen'zetu kuleeee
 
Mrembo by Nature, wahunduka hata wethiteta... iki ekupokee ubungo ni ani? tutekie kweri?
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana,sasa naomba nikuweke mjini,gharama zote,usafiri,chakula,malazi,shopping kila jumamosi,kusuka,nguo etc nipo tayari kubeba majukumu ila shart no 1 unibebee mtoto wangu kwa miezi tisa

Siku hizi Chimbuvu unatongoza wake za watu?
Cc Himidini
 
Last edited by a moderator:
Mrembo by Nature kweli wewe unaonekana darasani ulikua unakariri xaxa kama kweli huko kjijini kwenu ndo kulivyo c ndo ungewekeza kwenye biashara au unasubiri wadhungu waje kuinua hcho kjiji chenu acha ujinga rudi kjjni ukachangamkie fursa hzo....
 
Last edited by a moderator:
Haha...ushaanza uchokozi tayari
Alikuwa sehemu inaitwa Vunta...mi kwetu Vudee...hehe!
Afu ukumbuke bado nazichanga ili twen'zetu kuleeee
​mi nishafika usangi nakusubiria wewe tu!!
 
Karibu sana,sasa naomba nikuweke mjini,gharama zote,usafiri,chakula,malazi,shopping kila jumamosi,kusuka,nguo etc nipo tayari kubeba majukumu ila shart no 1 unibebee mtoto wangu kwa miezi tisa

Sawa, mpnz nitakubebea tu.
 
Back
Top Bottom