Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

Mwanaume miaka 30, una uwezo wa kuoa binti fresh 22-24 usizidi hapo. Unamtaka kumlipia mahali mtu ambaye ameujua uchungu miaka 9 iliyopita? Haupo serious. Nafasi pekee adimu utakayoikumbuka katika maisha yako ni hii.
 
Matatizo yapo kila siku na hayaishi.Unaweza ukawa mtu wa kusaidia tu ndugu na jamaa mpaka kaburini na ushindwe kufurahia maisha yako.Unaweza ukamsomesha huyo mtoto na akazaa mtoto wake bado akamleta kwako umsaidie tena.Unaweza kulipa mahali na ukawasaidia kila kitu lakini bado kila wakipata tatizo watataka wewe ndiye uchangie kuanzia magonjwa mpaka sherehe.Utabaki mtu wa michango tu na hautafurahia maisha yako ya kazi wala ndoa.Kila kitu kina kiasi na sio lazima ukifanye wewe.
Ushauri wangu:
1.Sahau mambo ya mahali na ndoa kwa sasa.Akili zako elekeza kwa mgonjwa kwanza na ulisimamie hilo bila kuyumba na bila ya kupepesa macho waambie wote wajue kuwa mgonjwa apone mambo mengine baadaye
2.Wazo la kumpa mil 5 futa kama ingewezekana mwambie kabisa kuwa haupo tayari kwa ndoa kwa muda huu ili uangalie reaction yake.Akisema kama hatufungi kila mtu ajitegemee kubali ila endelea kulea mimba na mtoto.ukimpa mil 5 sasa hivi ataimaliza hiyo hela muda mfupi atarudi tena kwako kukusumbua
3.kwa maelezo yako mafupi naoona huyo dada hakufai kwa kipindi hiki kwa ndoa na wewe pia unahitaji kama miaka 2 au 3 bila mke kwanza utulize mawazo yako.wa kupoozea wapo usiogope hutapata kiu wapo wenzetu wakarimu
4.familia ya mwanamke sio sahihi sana kwako na watakusumbua sana na nimeoona wewe ni laini sana hapo watakuja kujaa nyumbani kwako utaishia kwenye madeni na kumlaumu Rais wetu kila siku
5.Usiogope kumwambia ukweli hisia zako kama ulivyotuambia humu jamii forum.Anza taratibu .Ukitaka ushauri zaidi baadaye ngoja nikasikilize kama Morrison baada ya kukanyaga mpira uwanjani , akawakanyaga viongozi wa yanga , je na leo atawakanyaga TFF yote.Nakutakia maisha mema usihangaike maisha mafupi sana usijitakie stress za bila mpango!!!
 
Kuhusu kuuguza hakuna shida kiongozi huko wala hitajio sio pesa Huko hitajio ni Mwenyezi Mungu amponye tumepambana sana kwa miaka minne alikua anapata unafuu ila now naona hali imechange kabisa.
Nicheck PM mara moja...
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Hukute na mtoto ambae yupo tumboni sio wako, dah natania😁😁ila itabidi uwe mvumilivu mpaka mtoto atakapo fikisha umri wa kutoka kwa mama yake. Tho kuna exception mazingira ambayo unaweza mchukua mtoto akiwa chini ya umri wa miaka 7.lazima yawe mazingira hatarishi kwa mtoto, pambana.

On a serious note be very careful Haya unayoyawaza usimuoneshe huyo mkeo kwa sasa.

Hakuna singo Maza ameshapata mteremko, mtoto wake analipiwa ada akubali kuachika kirahisi, utalishwa madude akili yako itahama gafla. Wanawake wanapenda sana mambo ya kuwapa wanaume madawa. Just be careful
 
Nawewe unakuwa boya.

Ushaambiwa kimbia, wewe unalazimisha kumpa mtaji.

Mrudishe kwao, mwambie unajipanga. Mambo yako yakiwa vizuri utamrudisha. Akishaondoka ndo ntolee.

Matunzo ya mtoto utamtumia tigo pesa.

Kuna mchizi wangu job! Alitia mimba dem wa kichaga mwaka jana, lkn alikua ashaona hawawezi kukaa pamoja kwa sababu demu mzito sana kwenye mipango ya maisha. Yaani ni yule dem akija getto hawezi kugusa chombo aoshe au apike, yy akija anataka waagize chips kuku wacheki movie, na kumpa mtonyo wa kusuka, dem alikua kamaliza chuo mwaka huo huo. Maza ake alivyogundua dem anamimba, na aliyempa mimba ana ka kazi ka maana, akaanza kumsumbua mchizi aende kujitambulisha. Akapiga chenga sana hadi akaenda. Kufika wakapanga na mahari kabisa mil 2.

Dogo alipojifungua tarehe za mahari zikawa zishafika, jamaa akawa anatia kalenda, ooh hali mbaya, nivumilieni bado najipanga, hahaha: ilifikia hatua maza ake na dem kamtia dem kwenye gari kampigia simu jamaa kumtaarifu mkeo na mwanao Wanakuja huko mlee pamoja kama ni kujipanga mtajipanga mkiwa wote. Mkitaka kuleta mahari ni nyie.

Ko kiufupi hii mambo ya kujipanga inategemea na mtazamo wa wazazi wa dem. Vinginevyo mzigo utakomaaa nao hadi uchoke.
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.

Changamoto ninayoiona kwako, ni kukosa msimamo binafsi, unajua unataka nini ila hauko tayari kumwambia mwenza wako unachokitaka. Matokeo yake mke ndiye anayekupangia cha kufanya. Nilichogundua kuna mambo mawili hayakufurahishi

1. Kumlipia ada mtoto wa mme mwenzio ,
hili wanaweza wachache , huo ni msaada
sio jukumu lako, kama unatoa msaada
toa kwa moyo mmoja bila
manung'uniko, kama huwezi acha, au
fanya lilo ndani ya uwezo wako.

2. Mke sio mtu wa kujali maslahi ya pande
zote, ila maslahi yake mwenyewe, kwa
mtu kama huyo ni hatari kuwa naye,
mimi nakuachia uamue mwenyewe ila
sikushauri kuendelea naye. Halafu hiyo
hela 5mil ya nini unayotaka kutoa uwakabidhi wakwe zako ?
Unadhani inatosha kulea mimba na
mtoto ?
Ushauri wangu katika hili, lea mimba, tena ulitakiwa kulea mimba yeye mke akiwa mbali huko kwao, kwa sasa vumilia ajifungue salama , waambie fedha wanazozitaka huna, na jitahidi mkeo akubaliane na hilo, asipokubaliana mwambie arudi kwao kwanza wakati unajipanga, tena jitahidi asijue transactions zako.

Mwisho jitahidi kuwa real sio kupretend , vinginevyo hata utakapoanziaha mahusiano mapya itakugharimu pia. Wanawake pia husoma saikolojia kwamba ukoje, inawezekana mmefikia hapo kwa sababu ya weakness yako aliyoiona.
 
Kuna mchizi wangu job! Alitia mimba dem wa kichaga mwaka jana, lkn alikua ashaona hawawezi kukaa pamoja kwa sababu demu mzito sana kwenye mipango ya maisha. Yaani ni yule dem akija getto hawezi kugusa chombo aoshe au apike, yy akija anataka waagize chips kuku wacheki movie, na kumpa mtonyo wa kusuka, dem alikua kamaliza chuo mwaka huo huo. Maza ake alivyogundua dem anamimba, na aliyempa mimba ana ka kazi ka maana, akaanza kumsumbua mchizi aende kujitambulisha. Akapiga chenga sana hadi akaenda. Kufika wakapanga na mahari kabisa mil 2.

Dogo alipojifungua tarehe za mahari zikawa zishafika, jamaa akawa anatia kalenda, ooh hali mbaya, nivumilieni bado najipanga, hahaha: ilifikia hatua maza ake na dem kamtia dem kwenye gari kampigia simu jamaa kumtaarifu mkeo na mwanao Wanakuja huko mlee pamoja kama ni kujipanga mtajipanga mkiwa wote. Mkitaka kuleta mahari ni nyie.

Ko kiufupi hii mambo ya kujipanga inategemea na mtazamo wa wazazi wa dem. Vinginevyo mzigo utakomaaa nao hadi uchoke.
Mama ake alishukuruu sanaa Yani toto ambalo lilikuwa lishakuwa mzigo kwake leo hii ana mimbaa...!! Kweli Mungu si Athuman..
 
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee

🤣🤣🤣🤣🤣dah familia za kiafrika hizi mbona kila mtu na bei yake kama wanamuuza
 
  • Thanks
Reactions: amu
L
Kosa linaweza lisiwe lake lakini familia anayotoka ndo kikwazo huwezi kuoa kwenye familia ya kijambazi kama hiyo
Na ndio point ilipo laiti angekua anaweza nisikiliza hio hela ningempatia akafanya mambo mengi yakiwemo
Kuhakikisha school fees ya mwanae wa kwanza inapatikana kupitia hapo, sema amekua kama sio mtu mwelewa kila anachoambiwa anakileta kama kilivyo kwangu na ukijaribu kuonesha utofauti wa mawazo anareact tofauti.
 
Fala huyoo aache ujinga awapange ndugu zake
Rikiboy mdogo wangu unajua ni rahisi sana kufanya maamuzi kwa mtu lakin si kwako, ulichosema ni sahihi, Mtizamo wangu nilimpa mapema kua kwa kua hakuna alijuae la kesho, kwanza nimtafutie uhakika wa matibabu endapo maradhi yatampata meanz bima ya afya, na ili hii ipatikane nikamwambia nj inshu ya kutengeneza cheti cha ndoa tu ya kiserikali nipate kumuingiza kwenye ndoa .
Anataka ndoa, kutolewa mahali, na huduma zingine, kwa mda mfupi ambao siwez timiza isitoshe kada niliopo kwa sasa hata ruhusa tu ya kwenda kumuona bi mkubwa sitopata kwa mwaka huu erikizo zimefungwa ila mwenzangu ndio dishi.
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Mdogo wetu hapo huna mwanamke,kama wadau wanavyosema inawezekana hata huo ujauzito sio wako.Ushauri fanya hivi simamisha kila kitu kwa sasa ikiwemo kutoa mahari na kumpa hio m4 unayotaka kumpa akijifungua jiridhishe kwanza huyo ni mtoto wako?ukishaji ridhisha ni mwanao mpe mtaji wa kumhudumia mtoto vitu vidogo vidogo.Hio familia sio na usikute hao watu wametengenezwa na huyo mwanamme kukutoa fedha.
 
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee
Mimi naona hii idea yako ndo nzuri zaidi,zaidi ya chochote maana hapa utakuwa umeshaepuka kelele za ustawi wa jamii na blah blah blah gani sijui.

Yani huyo hata bure usichukue,I mean buure babake akwambie kijana nimekupa binti huyo nenda kaishi naye na akupe na asante juu hata akitaka yeye akupe pesa za kuanzia maisha wakatalie.mdogo'angu aged 30 uowe singo mama kweli?hapana aisee nakusikitikia sana tena hata huo muda uliokaa kwenda kuwasikiliza wazazi wakipanga nonsense zao naona bora ungeenda kulala au kumpa faraja mama ungekuwa umefanya la maana zaidi.

Single mama WtF!!!huyo aliyemzalisha na aliyemtoa bikra kwa chips kavu kwenye matuta ya viazi mbona hawakuwadai hao leo wakuuzie wewe engine mbovu iliyofanyiwa overhaul?achana nao miaka 30 vuta kigoli umri wako mle maisha unaposikia ndoa usichukulie poa poa siyo kila mwanamke anaiweza hii taasisi huyo amesha-fail mtihani acha azeekee kwao.

Nikupe pole kuwa mgane mapema,usipaparike tulia tafuta mke taratibu taratibu hawa wapo tu achana na hayo makopo unayotaka kuokota.
 
Wewe kweli humpendi, umpe una ela ya kumpa zaidi ya milion 4 halafu kulipa mahari ya milion 2 unalalamika?
We sema ukweli ni kwamba tu kuna wenzako wamekujaza maneno usioe single mother na unataka kimbia majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta naye sasa nawe umemuongezea tena mzigo wa kuwa double single mother sijui unataka sasa mbeleni aje amuoe nani.

Mwanaume anayejitambua wala hasubiri ajazwe maneno ili ajue aowe au asiowe singo mom,hilo liko wazi.....mwanamke aliyeshusha engine tayari huyo ni wa baba'ake na ukoo wake hakuna huruma hapa,tena tungeenda mbali zaidi tungesema pia akikosa bikra abaki kwao maana hizo ni dalili za kwamba ni malaya but siku hizi vijana wanawaonea huruma wanawaokota hivyo hivyo wakiwa makopo.

Mimba siku hizi wanategesha ameona dogo uhakika wa maisha upo kamtegeshea na dogo kajaa ila dogo ameshastuka.
 
Kuhusu kuuguza hakuna shida kiongozi huko wala hitajio sio pesa Huko hitajio ni Mwenyezi Mungu amponye tumepambana sana kwa miaka minne alikua anapata unafuu ila now naona hali imechange kabisa.

Mbona kama Mmemkatia tamaa bi mkubwa?
 
Ay
Mbona kama Mmemkatia tamaa bi mkubwa?
Yuko kwenye usimamizi mzuri kiongozi tumekaa hospital zote bongo na kujirizisha kwa kile anachosumbuliwa nacho, ila imagine mtu aliekuleta dunian anasikia kua dogo umetoa posa /mahari ilhali yeye yuko hoi huu ni umaku, nimetiwa kidole matakon na kuambiwa ninuse nimekubali na kwa kua nishajua kua kuna nuka acha nichambe mavi haya maisha yaende, huruma zangu za kisukuma zitaniponza nisipokaza pu mb
 
Itoshe kusema unataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia...

Kuoa sio jambo la kuharakishwa

Mi nilitoa mali 2.5 ila sio kwa kuharakishwa nilikurupuka mwenyewe nkasema naoa nikapeleka mshenga wakataka mali nika bargain nikatoa..Na huyo mwanamke nilikaa nae miaka 9 kwenye mahusiano mpk akajikatia tamaa mwenyewe,siku nikaamua tu nioe basi nikaoa sikupangiwa na mwanamke

Kuoa asipange mwanamke,panga wewe km mambo hayapo sawa mwambie kbs live live mambo bado tusubiri htk aende maana kuoa sababu mali utatoa wewe na gharama za mpk mwanamke umuoe si ndogo na ni JUKUMU lako sio lake.Wewe ndo mwanaume hivyo asikupangie labda km anataka kukukopa mali which is upuuzi tu .

Kuhusu swala la kulea mtoto wake ni hilo ni jukumu lako km umeamua kumuoa na unataka huyo mwanamke awe na amani kwako otherwise aende kwa baba ake km yupo.Huwezi mpenda mwanamke mwenye mtoto hlf mwanae usimtake.Kuna mama wa kambo hamnaga baba wa kambo sababu wanaume wana roho nzuri kuliko wanawake.

Swala la mama ako kuumwa hlf she does not seem to care,Be careful hilo sio jambo dogo kbs...
 
Back
Top Bottom