Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

Hio hela nilikua nimeitenga kwa procedure za kumrasimisha yeye tu. Na analifahamu hilo manake ndio bajeti yetu, sasa linapokuja suala la kuuguliwa na mtu haoneshi kujali hapo ndipo unapopata akili kua huyu target yake sio shida na raha, Niko kwenye shida yangu hataki kushea nami bado anazidi ipigania furaha yake tu. Sijala limbwata sheikhe nina akili timamu nachoomba hapa nikumuacha katika namna ambayo yeye mwenyewe, atajua cha kufanya nini nn mbeleni pasipo kunisumbua. Usingle maza wakati mwingine sio kosa hujui huko nyuma ilikuaje, Na kwa akili ya kawaida mtu uwe single maza tena msomi na akili timamu unapokuja kusimamia pengine kile anachokiita kua ni taratibu za kabila lao inakua ni sawa na kukomoana, Natak kuchukua pesa yote ya mahali plus nauli sijui mavazi sijui , yote niwakabidhi nifanyeyangu.
Unajua mtu unapoomba ushauri mara nyingi unakuwa ushafanya maamuzi, msemo wa serikali yako kichwa chako ndipo unaapply. Fanya kile unachohisi ni sahihi maana mahusiano hayana formula hata mimi ya kwangu yalinishinda usione niko hapa nakushauri wewe wakati mimi mwenyewe nina mtoto wa miaka mitano nalea mwenyewe
 
Hio hela nilikua nimeitenga kwa procedure za kumrasimisha yeye tu. Na analifahamu hilo manake ndio bajeti yetu, sasa linapokuja suala la kuuguliwa na mtu haoneshi kujali hapo ndipo unapopata akili kua huyu target yake sio shida na raha, Niko kwenye shida yangu hataki kushea nami bado anazidi ipigania furaha yake tu. Sijala limbwata sheikhe nina akili timamu nachoomba hapa nikumuacha katika namna ambayo yeye mwenyewe, atajua cha kufanya nini nn mbeleni pasipo kunisumbua. Usingle maza wakati mwingine sio kosa hujui huko nyuma ilikuaje, Na kwa akili ya kawaida mtu uwe single maza tena msomi na akili timamu unapokuja kusimamia pengine kile anachokiita kua ni taratibu za kabila lao inakua ni sawa na kukomoana, Natak kuchukua pesa yote ya mahali plus nauli sijui mavazi sijui , yote niwakabidhi nifanyeyangu.

Sasa uchukue hela uwakabidhi ili iweje sababu hata ukiwapa milion 5 itaisha atakuja na kukuomba hela tena wewe cha kufanya lea mimba tuu na baadae uwe unampa hela ya mwisho wa mwez pind mtoto azaliwapo,huyo sio wa kuoa kbs mana inaonesha hayupo tayar kuwa mke wa mtu wa shida na raha
 
Angalia huyo mjaluo kama chimbikonlake siyo kenya utapigwa hela zako ma atasepa. Vinginenyo wajaluo makubaliano ya mahari hufanywa na baba mzazi wala siyo ndugu wa mke. Mama mkwe yeye anapewa blanketi na hela kidogo kama laki mbili.

Unachukua ndugu zako kama wazazi wanakaa meza mona na mzazi mwenzio wa upande wa moe wako wanakibaliana mahari tena ni ng'mbe hao ngombe ndo unaconvert to pesa. 5 cows wanatosha usawa huu.

Halafu kwa wajaluo mtu aliyezaa kwao ni reject unaweza kuchukua kwa gharama nafuu sana maana hana maana hapo kwao tena.
 
Mkuu pole,japo hayo Mambo yanaeeza kuwa ni magumu kwa upande wako HEBU ACHA UJINGA AISEE!!!🙏🙏🙏
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Hauko sawa kiakili
 
Unatia huruma ila wewe ni dhaifu kwa sababu zifuatazo:
Unapangiwa lini uoe na kupeleka posa

Unapangiwa umuuguze mama yako kwa namna isiyomuathiri anayekupangia

Ulikuwa na papara ya kuingia kwenye mahusiano serious bila tathmini ina maana mwanamke alijua anaweza kukupeleka anapotaka

Unachotaka ni kuvunja mahusiano maana milioni mbili ya mahari unaiona ni nyingi ila milioni tano ya kumwacha mwanamke upo tayari kuitoa.

Inaonekana unaoa sababu ndugu wa mke wanakulazimisha.
 
Habari za asubuhi, wanajamiiforum.
Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu.

Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa takribani miaka miwili ambapo hatma ya ndoa ilikua kufiwa kwa mwenza wangu hivyo nikabaki single. Hii imetokea last year 2019 March. Baada ya kukaa kwa takribani miezi 9, baada ya kukutwa na hili, niliamua kutafuta mwenza mwingine ambaye tungesongesha maisha ndipo nakutana na changamoto hizi.

Nilipata binti wa kijaluo toka ujaluoni ambaye ni mhitimu wa elimu ngazi ya degree ila hana ajira. Binti niliempata nimemkuta akiwa na mtoto mmoja wa miaka tisa. Kiufupi kabla sijapata uhakika wa tabia za binti vizuri nilijikuta naingia kwenye mtego baada ya binti huyu kupata ujauzito.

Licha ya kuwa sikujipanga ila nilifurahi sana kwani sijabahatika kupata mtoto na akaishi. (Marehemu mke wangu amefariki akiwa na kichanga changu pia). Sasa baada ya kuamua kulea ule ujauzito ambao mpka sasa tunategemea kupata kichanga next year January, nikajikuta napewa jukumu la kumlea yule mtoto niliemkuta kielimu(kulipia ada na mahitaji mengine).

Baada ya muda binti akaja kuishi kwangu nami nikaliafiki hilo ili tuzidi kufanya maisha nikiwa na imani kuwa nitamrasimisha soon tu baada ya kujifungua mtoto.

Leo ni wiki sasa kuna mambo yamejitokeza, binti aliniambia niwe na uharaka wa kumtolea mahali kabla Desemba. Baada ya kuambiwa kuhusu hilo niliamua kudodosa uhalisia wa kiasi cha pesa ambacho ningetakiwa kutoa kama mahari, nikawa nimejibiwa. Ila kuanzia juzi kuna kitu nimekinotice, kuanzia baba, mama, baba mkubwa na wengine wengi kila mmoja amekua akitaja kiasi cha pesa au kitu anachokihitaji ili kiwe nimekiambatanisha kwenye hio mahari, baada ya kupiga mahesabu naona kabisa inazidi 2m na hapo hapo majukumu mengine yananikabili. (Nauguza mama angu mzazi ambaye yuko hoi kitandani).

Baada ya kuliona hili binti haoneshwi kustushwa na taarifa ya kuuguliwa kwangu pengine tukasogeza mbele hii shughuli yeye anaishia kusema pole tu huku mengine yakiendelea(means hizo taratibu zake za kutaka mwisho wa mwezi huu niende kwao).
Kuna kitu nimegundua kuwa nisipokua makini jamii yangu itanishangaa endapo nitaenda kutoa mahali na wakati tuna mgonjwa akiwa hoi.

Nayoyafikiria kichwani mwangu ni haya, Nimekuwa mtu wa kupoteza muda wangu na pesa zangu kujaribu mahusiano ambayo yatakua yenye tija kwangu hivyo muda unaenda na sioni kupiga hatua za maendeleo yangu binafsi.

Nataka nichukue kiasi cha milioni 5 au 4 kisha nimkabidhi kwa maandishi mbele ya wanasheria kuwa ninampa kama msingi wake utaomsaidia baada ya kujifungua kufanya lolote ambalo, lakini pia kuandikisha kuwa nitalea ujauzito na mtoto baada ya kujifungua salama mpaka atakapofikia umri nimchukue niishi nae mwenyewe. Kiufupi naona nataka kupata mzigo mkubwa sana mbeleni nisipokua makini.

Naombeni msaada wenu wakuu ninahisi nimebugi kwa hili aisee nifanye nini kwa mazingira hayo.
Acha uzombi, waambie nimekwama tu. wakizingua unawazingua.
Yaani hujaoa watu wanakupa stress ukioa si ndo utachanganyikiwa.
Usitoe hela yoyote we endelea kuishi naye na kwao huendi kutoa posa na mambo yako endelea kufanya. kama mbwai na iwe mbwai tu
 
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee
Wajaluo hua hatuko hvo kwenye utoaji wa mahari kwamwe sijawai kuona wala kusikia hapo unapigwa mkuu! Iko hvi sisi hua tunatoa Ni hela ya posa ambayo Mara nyingi haizidi laki 3 kama umejitahidi sana na hiyo hela Ni ya mama Mkwe baba hagusi hata 100 then ndo inafuata mahari ambayo mtakubaliana ila kama Ni ng'ombe haizidi 6 hatuna vitu vingine sijui sufuria Mara jembe n.k hivo havipo hao wameona kidogo una kipato ndo wanataka kukupangia vingi hvo Achana nae huyo si mwanamke wa kuoa hakutakii mema
 
Unakosa Mil 2 ya shughuli ya Mahari lakini Unapata Mil 5 ya kumkabidhi binti muweke mkataba????? Serious mkuu???? Wewe kama ulikuwa na nia ya kumuoa bhasi ungeenda kwao wakaongee na ndugu hiyo hela itapungua sana Tu mahari sio kitu fixed mzee unaweza toa hata 1.5 au Moja kabisa.

Kingine mama yako anaumwa bhasi mwambie Mkeo msubiri kwanza apone alafu usikie atasemaje maana haya hujampa hilo wazo uone mwenzio atajibu nini ushamuhukumu...serious??? Hatuishi kwa hisia mkuu wewe ongea nae ataelewa tu tayari ana mimba unadhani anaenda wapi sasa???? May b useme hukumpenda alafu pia ni SINGLE MAZA TAYARI ANA MTOTO...!! So unaona mahari kubwa hivyoo haifaiiiKweli kwa single maza Mil Inatoshaa sanaaaaaa....
 
Nazidi pata mwangaza ila mimi nilitaka kumnawa siku hio hio ambayo yeye ndio anaona inafaa kama alivypanga ndio nitoe hio statement na nimpe pesa akafie mbele imagine iko hivi,.
Baba mkubwa anasema yeye awekewe laki tatu kwa bahasha yake, Mama laki tatu na vikorokoro kibao, kaka nae anatak laki 2 , Mzee anatamka kua lazima apate ngombe wawili wa kisasa wa maziwa na mengine mengi, ninaona bora nikae single sio kwa uoaji huu aisee
Aisee we ni kijana jasiri Sana mkuu. Huyo mwanamke ni wa kumkwep. Kwanza hamna mke hapo. Alafu jingine mkuu Hawa watu usiwabembeleze Sana Kuna ka weakness mwanamke ameuona kwako hivyo anataka aitumie Kama fimbo.. nadhani kuoa kwasasa baada ya najaribu uliopitia sio vyema Sana. Tafuta michepuko ya kutosha janza hata mimba tatu au nne huko mtaani. Epuka kuishi na mwanamke ambae hana future au msaada wowote ambae hana hata huruma. Wengine wamzalishe wewe umemsaidia kulea mtoto wa mwanaume mwingine bado akuendesha Kama Bedford. Aisee ungekuwa karibu ungekula kelbu moja matata. Kwanza una uhakika wa hio mimba kuwa yako. Kwann asisubiri azae kwanza, mama mzazi apate ahueni alafu ndio Mambo ya kwenda kwao yaanze. Tena suala la ndoa usiliweke kwanza. Watu wanaishi suria miaka hata kumi na tano wanakuja kupasha kiporo baadae, baada ya milima na mabonde.
 
Wajaluo hua hatuko hvo kwenye utoaji wa mahari kwamwe sijawai kuona wala kusikia hapo unapigwa mkuu! Iko hvi sisi hua tunatoa Ni hela ya posa ambayo Mara nyingi haizidi laki 3 kama umejitahidi sana na hiyo hela Ni ya mama Mkwe baba hagusi hata 100 then ndo inafuata mahari ambayo mtakubaliana ila kama Ni ng'ombe haizidi 6 hatuna vitu vingine sijui sufuria Mara jembe n.k hivo havipo hao wameona kidogo una kipato ndo wanataka kukupangia vingi hvo Achana nae huyo si mwanamke wa kuoa hakutakii mema
Kosa la mwanamke hapo liko wapi?????
 
Nina sababu ya msingi na ya usiri kidogo kujibebisha ili nipate mtoto huyu nayemtarajia , kuhusu hilo sina namna ndio maana najibebisha, ila sasa linapokuja suala la kutaja kupelekwa pupa hivi ndio ninapochoka laiti ningeweka picha ya mama angu mzazi mkaona hapa hali aliokua nayo machozi yangewatoka, ila mwenzangu kaonesha mstuko mdogo sana sana kuhusu ugonjwa wa mama mkwe wake, Pesa sio tatizo nataka nijilipue kwa dizain hio akafie mbele nitachukua mwanangu na ninatka hio hela nikawakabidhi wazee wake na yeye akiwepo ili iwe funzo, nimemleta mkoa now miez minne, namhudumia, natuma ada ya mtoto mia mbili kila mwezi (200k) ikijumuisha na usafiri na mahitaji mengine, sasa limekuja suala hili baada ya kuona kahela flani kametiki kanasubir kuingia kwa akaunti tu , Nimeanza letewa orodha ndefu namna hii?.
Nitakapofanya haya mbele ya wazazi wake watapata fundisho pengine.
Hio hela mil 5 tafuta kiwanja nunua Jenga nyumba za wapangaji mtoto akizaliwa ukahakiki ni wako andikisha jina la mtoto lala mbele huyo Malaya Hana lengo zuri.
Pili hio mimba Ina mashaka
 
Habari za asubuhi, wanajamiiforum.
Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu.

Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa takribani miaka miwili ambapo hatma ya ndoa ilikua kufiwa kwa mwenza wangu hivyo nikabaki single. Hii imetokea last year 2019 March. Baada ya kukaa kwa takribani miezi 9, baada ya kukutwa na hili, niliamua kutafuta mwenza mwingine ambaye tungesongesha maisha ndipo nakutana na changamoto hizi.

Nilipata binti wa kijaluo toka ujaluoni ambaye ni mhitimu wa elimu ngazi ya degree ila hana ajira. Binti niliempata nimemkuta akiwa na mtoto mmoja wa miaka tisa. Kiufupi kabla sijapata uhakika wa tabia za binti vizuri nilijikuta naingia kwenye mtego baada ya binti huyu kupata ujauzito.

Licha ya kuwa sikujipanga ila nilifurahi sana kwani sijabahatika kupata mtoto na akaishi. (Marehemu mke wangu amefariki akiwa na kichanga changu pia). Sasa baada ya kuamua kulea ule ujauzito ambao mpka sasa tunategemea kupata kichanga next year January, nikajikuta napewa jukumu la kumlea yule mtoto niliemkuta kielimu(kulipia ada na mahitaji mengine).

Baada ya muda binti akaja kuishi kwangu nami nikaliafiki hilo ili tuzidi kufanya maisha nikiwa na imani kuwa nitamrasimisha soon tu baada ya kujifungua mtoto.

Leo ni wiki sasa kuna mambo yamejitokeza, binti aliniambia niwe na uharaka wa kumtolea mahali kabla Desemba. Baada ya kuambiwa kuhusu hilo niliamua kudodosa uhalisia wa kiasi cha pesa ambacho ningetakiwa kutoa kama mahari, nikawa nimejibiwa. Ila kuanzia juzi kuna kitu nimekinotice, kuanzia baba, mama, baba mkubwa na wengine wengi kila mmoja amekua akitaja kiasi cha pesa au kitu anachokihitaji ili kiwe nimekiambatanisha kwenye hio mahari, baada ya kupiga mahesabu naona kabisa inazidi 2m na hapo hapo majukumu mengine yananikabili. (Nauguza mama angu mzazi ambaye yuko hoi kitandani).

Baada ya kuliona hili binti haoneshwi kustushwa na taarifa ya kuuguliwa kwangu pengine tukasogeza mbele hii shughuli yeye anaishia kusema pole tu huku mengine yakiendelea(means hizo taratibu zake za kutaka mwisho wa mwezi huu niende kwao).
Kuna kitu nimegundua kuwa nisipokua makini jamii yangu itanishangaa endapo nitaenda kutoa mahali na wakati tuna mgonjwa akiwa hoi.

Nayoyafikiria kichwani mwangu ni haya, Nimekuwa mtu wa kupoteza muda wangu na pesa zangu kujaribu mahusiano ambayo yatakua yenye tija kwangu hivyo muda unaenda na sioni kupiga hatua za maendeleo yangu binafsi.

Nataka nichukue kiasi cha milioni 5 au 4 kisha nimkabidhi kwa maandishi mbele ya wanasheria kuwa ninampa kama msingi wake utaomsaidia baada ya kujifungua kufanya lolote ambalo, lakini pia kuandikisha kuwa nitalea ujauzito na mtoto baada ya kujifungua salama mpaka atakapofikia umri nimchukue niishi nae mwenyewe. Kiufupi naona nataka kupata mzigo mkubwa sana mbeleni nisipokua makini.

Naombeni msaada wenu wakuu ninahisi nimebugi kwa hili aisee nifanye nini kwa mazingira hayo.
Mdogo wangu kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka Inuka vumilia kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka Inuka vumilia
 
yaani akili imekataa unachokifanya

hiyo hela unayojitia kiherehere kuipoteza iwekeze kwenye matibabu bora ya mama yako

na huyo siyo demu wa kuoa ni wa kugonga na kuacha
 
Back
Top Bottom