Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,123
- 454,396
Mm ndio wameniambia hivyo inaenda week ya pili na sijawahi hata kuwasumbuaNahisi ukienda kujilipua wanakwambia ombi lako linashughulikiwa utakaa siku tatu hamna majibu zamani hata dakika tano hazifiki washakupa
Kwenye acc yao insta na comments wamefunga