Ninachompendea Kikwete Jakaya Khalfani ni hiki... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninachompendea Kikwete Jakaya Khalfani ni hiki...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 26, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Amewapa raia uhuru wa kuzungumza. Hii ni tofauti kabisa na Gaddafi wa Libya ambaye hataki kusikia raia au paparazi anasema au kuandika chochote bila 'ruhusa' ya vibaraka wa Gaddafi. Raia wa Libya wana maisha bora kuliko hata raia wa Misri, lakini hawautaki utawala wa Gaddafi kwa sababu wananyimwa uhuru wa kuzungumza. Ukitaka kuzungumza lazima ufanye hivyo 'kwa hisani ya Gaddafi'.

  Bravo Mkwere!! (Lakini naskitika sijawahi kukupigia kura, na hiyo haikuwa kwa bahati mbaya. hata ukigombea leo sikupi)
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Uhuru gani wa kuzungumza na huku anatuua na njaa; mwenye njaa hawezi kuzungumza maneno ya maana!!
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  JK hajawahi kuwahadaa ama kuwasuta watu wa media kama Mkapa, ameruhusu mno uhuru wa media nasi kujadili ndani-nje bila vikwazo juu ya utawala wake.

  Hii JF yetu enzi za mzee Ben...ingalishafungwa kitambo na kusahaulika.
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  naye pia ametoa uhuru wa kuongea na kusema yote....ila ttz lake watu wamesema hataki kusikia wala hataki kufanyia kazi....yalisemwa...
  nami nackitika kura yangu nilimpa Dr Slaa..ingawa hazikutosha...
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  ....na ndio maana imekuwa simple sana kuona uozo wake kuliko hata rais yeyote.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Huyo JK wako naye hatumtaki hebu ona ma noti bandia yalivyozagaa watu wanakamatwa hovyo na kupelekwa polisi eti kisa noti fake lkn mtu hapo katoka kutoa pesa kwenye ATM tena ya EXIM BANK halafu akarudi pale EXIM eti wanakataa hawana hizo pesa EXIMMMMMMMMMMMM mnachakachuliwa na noti bandia eti wanamwambia akumbuke alikozitoa (over my foot) damn hizi bank zetu customer care zao ni zero kabisaaaaaa.

  Sasa haya yote yamekuja sababu ya usimamizi wa huju JUMa Kilaza(JK) hakuna anachofanya mpaka tunaletewa mijinoti fake na BOT halafu wanayanadiiii bila hata aibu ptuuuuuuu.
   
 7. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa la JK ni timu yake..ina udhaifu karibu kila kona..pia hatujui timu yake anayoiamini yeye inatupeleka wapi..!?

  Kwa mtazamo wangu ameshindwa kabisa kupata timu kamili ya wachapakazi wanaolijua hilo na ndio maana utaona utendaji wa serikali yake umejaa dharura nyingi.

  Mambo yanaendeshwa kwa dharura.

  Ndio maana wananchi wengi wamepoteza mapenzi, imani na matumaini kwa serikali yake.
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kuzungumza bila kusikilizwa hakuna tofauti na kunyimwa kuzungumza.
   
 9. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ah wapi! Kikwete hakuwa na utashi, mabavu au ujasiri wa kufanya kitu chochote. Yeye mpaka sasa hivi hana habari kinachoendelea au kazi ya rais ni nini. Jamani kutofanya kitu si sawa na kufanya kitu. What do I mean? He didn't do sh*t about freedom of expression, ndo maana kila mtu anafanya anachotaka. Sasa humuhumu kuna religious incitement lakini wahusika hawachukuliwi hatua, hiyo ni freedom of expression?
  Mfano mwingine ni hali ya uchumi, aliendelea tuuuu na sera zile zile za Mkapa hakuna alichokibuni au kuongeza, sasa unaona mipango imekamilika, mikataba ime-expire, mikakati imepitwa na wakati na hana jipya. Hebu nipeni mfano wa uwekezaji wowote wa maana uliofanyika ndani ya miaka hii 5 -6 ya JK? Kama si vituo vya mafuta vya kizushi kuongeza kwa wingi!
  Let us not confuse inaction with action!
   
 10. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Uhuru wa media hautolewi na presidential decree, unatolewa na katiba ya nchi na sheria za nchi. Media hazijaanzishwa kutokana na hisani ya rais. Hata hivyo uhuru wa habari umekuwepo toka aondoke Nyerere, wakati wa Mzee Mwinyi kulikuwa na uhuru kupiota kiasi, hata porn zilikuwa zinaonekana kwenye magazeti, Mkapa alipunguza ujinga huo, baada ya kuondoka ujinga kwenye media umeingia kwa kiasi kikubwa. Hata hivyo wakati wa Mkapa kulikuwa na uhuru wa kumchora Ben Mkapa hata kwenye magazeti hata kabla ya JK kuwa rais, so uhuru ulikuwepo. Ben Mkapa alichokuwa anafanya ni kuwalima waandishi wa habari wachovu, wababaishaji, na wanaotumiwa, kwa kuwa ana uwezo wa kujua ni waandishi gani walio serious ni waandishi wa fitna. Hakuwa na makundi ya watu wanaotumia media kueneza fitan chuki za kidini, mgawanyo na makundi ndani ya chama.

  Sasa hivi media imekuwa ni tool ya fitna,
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumkubali mtu huanza pole pole kama hivi ! bravo
   
 12. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />

  Wabongo bana!!! Mtu akibania dili hafai hajui kazi huyo!

  Mko ki dili dili
   
 13. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tanzania ya leo ni tofauti na Tanzania ya Mkapa, Kikwete aliwekwa madarakani na vyombo vya habari, kwa ufupi ni rais aliyewezeshwa na vyombo vya habari katika uchaguzi wa mwaka 2005. hivyo nguvu ya vyombo vya habari anaijua, vilevile hana technique za kuwezesha vyombo vya habari vinyamaze. hivyo uchaguzi pekee alionao ni kuwaacha huru kwa sababu ni wachache wanaompinga, wengi bado wanamsapoti. hivyo Hajawapa uhuru wa kuongea, amelazimika kuwapa
   
 14. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  hii ni kweli kabisa! lakini ni kwa sababu MTU MWENYEWE NI "KIZIWI" SASA WATEGEMEA KIZIWI AZUIE WATU KUONGEA??? WENGINE HAWAKUWA VIZIWI BWANA:mullet:!
   
 15. Profesy

  Profesy Verified User

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama ni hivyo waandishi wangekua free kuongea na kureport. Mambo mengi yamepigwa chini. Siko 100percent na hii statement maana ukiangalia kwa mfano situation ya zeutamu,haikufungwa mpaka jk alivyowekwa kwenye site ndio ghafla ikafungwa. Yani we acha tu.
   
 16. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  hakika huu ndiyo umaskini wa akili. Suala na noti bandia jk anahusikaje kama siyo kudhihirisha chuki isiyo na sababu. Halafu unailaumu bot kwa lipi. Kwani hizo noti bandia zimetolewa na bot. Unashindwa kuelewa kwamba umepata uwezo wa kuzitambua noti bandia kwa sababu alama zilizopo kwenye noti halali za bot zinajipambanua vizuri na kwa urahisi na hizo noti feki.

  Ukweli ni kwamba jk ametoa uhuru ambao hata mimi naujutia maana watu kama nyie hamkutakiwa kusikika kabisa maana kila mnaponyanyua mdomo mnayoyaongea ni pumba na maudhi tu. Huko ambako uhuru wa kuongea umaminywa nao wana katiba lakini mkono wa chuma wa watawala ndiyo unaowatia adabu. Waswahili wanasema samaki ndani ya maji haoni umuhimu wa maji mpaka pale wimbi la ukombozi linapomtoa kutoka ufukweni na kumrejesha baharini ndipo hugundua kwamba bila maji yeye hana maisha. Mtamkumbuka huyu! Nyie leteni tu chuki na ushabiki usio na maana!
   
 17. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha kitu: Jambo Forum! nayo hivi iliishia wapi na ulikuwa wakati wa utawala wa nani ??
   
 18. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni kweli Kabisa ulivyosema
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ulianza vibaya nikataka kuacha kusoma thread yako lakini nikajipa moyo na kumalizia. Anyway, maoni yako siyo mabaya. Lakini kwangu mimi uhuru wa kuongea/habari sioni umuhimu wake kama wananchi wana njaa.
   
 20. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tatizo lipo kwake siyo timu. Msitake kumwepusha na udhaifu wa uongozi wake. The guy is incapable even in making use of the available human resource!!!! Ni rais wa ajabu sana. Hata Idd Amin Dada alikuwa na uwezo wa kuchagua na kuunda timu nzuri lakini siyo mkwere.
   
Loading...