milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,064
Running Away From Problem Is A Race U"ll Never Win
Vipi ticha number zinasomeka?
Utajuta kwa nini uliuza haki za watu kwa kusaidia mfumo onevu.
Pongezi kwa kula kile ulichopanda.
Sasa panda mbegu sahihi, usirudie makosa.
Dogo karibu kitaa, huku unajilipa kwa kiwango cha upambanaji na ubunifu wako, kunahitaji nidhamu yaipango na usimamizi binafsi,ukizingatia wewe ndo utakuwa boss na mtekelezaji wa mipango yako, kuna kupiga sana na sometime kupigwa na life pia, ila kujiajiri kutam ukiwa unaona mbali. Nimewahi kuwa teacher 4 2yrs kabla sjabadili mwelekeo, haikuwa rahis but now huwezi amini nimepiga hatua kubwa zaidi ya teacher aliyelipwa mafao japo kitaa nimekuwepo miaka michache. Usiwe mwoga wala kusita kama umeamua
Ndio maamuzi niliayoamua na hapa nafanya mpango kukusanya vyangu huku nilipo, najua life litazonga ila kipimo cha akili ni ugumu wa maisha, ipo siku nitatoka tu. Siwezi kuwa mtumwa kamwe.
Nilisimamia mitihani ya kidato cha pili, mtihani umeisha hatukulipwa hadi jana, jana watu wanalipwa nakuja kufatilia pesa yangu naambiwa jina langu halipo, leo nimuone afisa elimu, namuona leo anasema hakuna fungu nilisahaulika niandike Barua kufungua madai nitalipwa kwa OC (other chages) mafungu ya mkurugenzi.
Tafsiri yake ni kuwa limeshakuwa deni tayari hili, jasho langu, kila siku nilitumia tsh 8000 kwenda na kurudi kusimamia mitihani kwa siku saba. Kuja hapa halimashauri kutoka nnakoishi nakodi pikipiki elf 8 kwenda na kurudi kila siku, hapo bado kula, Nimetumia pesa eti leo nidai tena. HAPANA
Tangu nimeanza kazi nna miaka mitatu sasa ninaidai serikali, alafu leo niongeze tena kudai?
Kwa dhati ya moyo wangu nimeamua na sirudi nyuma, nimeachana na ualimu Rasmi, siwez kuwa mtumwa kwa haki yangu. Nita fight, nitatoka, sio wote wenye kazi ndio wanamudu maisha .
Wapo wa kuacha kazi lakini si wewe,,Ndio maamuzi niliayoamua na hapa nafanya mpango kukusanya vyangu huku nilipo, najua life litazonga ila kipimo cha akili ni ugumu wa maisha, ipo siku nitatoka tu. Siwezi kuwa mtumwa kamwe.
Nilisimamia mitihani ya kidato cha pili, mtihani umeisha hatukulipwa hadi jana, jana watu wanalipwa nakuja kufatilia pesa yangu naambiwa jina langu halipo, leo nimuone afisa elimu, namuona leo anasema hakuna fungu nilisahaulika niandike Barua kufungua madai nitalipwa kwa OC (other chages) mafungu ya mkurugenzi.
Tafsiri yake ni kuwa limeshakuwa deni tayari hili, jasho langu, kila siku nilitumia tsh 8000 kwenda na kurudi kusimamia mitihani kwa siku saba. Kuja hapa halimashauri kutoka nnakoishi nakodi pikipiki elf 8 kwenda na kurudi kila siku, hapo bado kula, Nimetumia pesa eti leo nidai tena. HAPANA
Tangu nimeanza kazi nna miaka mitatu sasa ninaidai serikali, alafu leo niongeze tena kudai?
Kwa dhati ya moyo wangu nimeamua na sirudi nyuma, nimeachana na ualimu Rasmi, siwez kuwa mtumwa kwa haki yangu. Nita fight, nitatoka, sio wote wenye kazi ndio wanamudu maisha .
Mimi nimeshaacha kujitambulisha mwalimu, unaonekana bure mbele za watu
Pole sana mkuu Elli bt now unadeal na nni mkuu?