Ninaacha Ualimu tangu leo

Ninaacha Ualimu tangu leo

zama private wewe serikalin michosho tuu. kuwa mjanja kaka. unfundisha masomo gani? fungua tuition center tena kaa VP iwe kama shule uanze kula vinono maisha ni maujanja tuu tena mwombe Mungu akuongoze
 
Natamani sana wa Tanzania tutazame mifano ya nchi nyingine.
Ni uzembe wa wachache unaumiza walio wengi.
Pole sana mkuuu.
Naamini pia unanafasi ya kuendelea kuwa mwalimu nje ya serikali ila pia kwa sasa unaweza kuhama.
Please nitafute mkuu pole
 
ushauri wangu usiache kazi ila omba likizo isiyo na malipo ya mwaka mmoja ukiona dili zinalipa poa kama co unarudi job.
 
Kauli zako zibakusaliti kwa upande mwingine.

Umetumia kauli kuwa, "ugumu wa maisha kipimo cha akili"

Kwani akili yako unataka ipimwe na ugumu gani?

Huoni kama hiyo ni changamoto ya kutosha kujipima?

Kuacha kazi siyo suluhisho kwa sababu; hata ukiacha kazi haimaniishi kwamba pesa hiyo ndiyo utaipata.

Na pili, maisha ya ualimu yanaweza kwenda hata bila kusimamia mitihani.

Subiri shule zifunguliwe urudi kituoni. Awamu ijayo ukiitwa kwenda kusimamia pangua
 
Mimi nauzunika sana ninapoona maigizo yanayoendelea na serikali: nikimtazama mhshimiwa rais naona ni mtu mwenye moyo na dhamira ila kuna watu nadhani hawampi taarifa sahihi na kama wanampa basi kunauzembe mahala! ili nitukio laajabu kuwahi kutokea nchini kwetu! ninacho amini nikwamba hela za mitihani zilichangwa na wanafunzi na serikali kuongezaea kama ruzuku ili kumpunguzia mtazania wakawaida makali ya michango hiyo.

unamteua mwalimu kumtoa kituo A mpaka B unamfanyisha kazi kwa wiki 1 kwa form 2 na mpaka wiki 3 kwa form 4 anamaliza kazi yake kwa uaminifu mkubwa unachukua mitihani yako unaondoka unamuacha kama alivyo kuja! na unamwambia aandike madai! ivi uyu mtu kesho unataka akaingie darasani afundishe kwa moyo wote???

mtu huyuhuyu anaanza kazi miezi miwili mpaka mitatu haumlipi mshaharawake unadhani atakua na moyo wa kufanya kazi?? mi nadhani serikali kama kweli inania ya dhati ya kufanya mabadiliko kwenye elimu basi kwanza ijitathimini yenyewe kwanini inamdharau kiungo wake muhimu namna hii???? nipo kwenye hatua za mwisho za kuachana nakazii hii pia hasa baada ya kuwekeza mahala na kujiendeleza kielimu nilipenda sana kua mwalimu lakini mazingira ya kazi hii nimagum mno hasa unapo dhani itakufikisha mahala flani kwakuitegemea yenyewe tu!

usiache kazi kwa asira inahitaji maandalizi yamsingi ya kiuchumi na kisaikolojia na utayari wa moyo na kujiamini kulikotukuka kuwekeza kutoka kwenye mazoea ya mshahara mpaka kujilipa mshahara! jipe miaka 10 ukijipanga na kuwekeza then achana nayo maana siioni futre ya kazi hiyo since hata walioko humo kwenye wizara hiyo wengi sio creative bali offensive wataalam wa vitisho na kauli za dharau huku wakiwa na taalumandogo sana na ofisi walizomo.
 
Kama ulikua na mpango Wa kuacha kaz,achana nayo Fanya kile unacho kiamini na kukipenda,wasikutishe wala kukukatisha tamaa,Wewe Fanya mipango yako tu,usiogope
 
Kaka usikate tamaa, lumbuka nchi jnaongozwa na waalimu, nakusihi pigania haki zako na kwa vile una ujanja wa kuja hadi kweny mitandao.. Unaweza kufikisha ujumbe wako kwa wahusika kirahisi sana.
Fight for your right and never give up!

Hao wote unawasema walikua walimu hujiulizi ni nini kiliwakimbiza wakaachana na ualimu? Jiulize walidumu na chaki kwa muda gani? Endelea kujipa moyo hapo.
 
Mimi nauzunika sana ninapoona maigizo yanayoendelea na serikali: nikimtazama mhshimiwa rais naona ni mtu mwenye moyo na dhamira ila kuna watu nadhani hawampi taarifa sahihi na kama wanampa basi kunauzembe mahala! ili nitukio laajabu kuwahi kutokea nchini kwetu! ninacho amini nikwamba hela za mitihani zilichangwa na wanafunzi na serikali kuongezaea kama ruzuku ili kumpunguzia mtazania wakawaida makali ya michango hiyo.

unamteua mwalimu kumtoa kituo A mpaka B unamfanyisha kazi kwa wiki 1 kwa form 2 na mpaka wiki 3 kwa form 4 anamaliza kazi yake kwa uaminifu mkubwa unachukua mitihani yako unaondoka unamuacha kama alivyo kuja! na unamwambia aandike madai! ivi uyu mtu kesho unataka akaingie darasani afundishe kwa moyo wote???

mtu huyuhuyu anaanza kazi miezi miwili mpaka mitatu haumlipi mshaharawake unadhani atakua na moyo wa kufanya kazi?? mi nadhani serikali kama kweli inania ya dhati ya kufanya mabadiliko kwenye elimu basi kwanza ijitathimini yenyewe kwanini inamdharau kiungo wake muhimu namna hii???? nipo kwenye hatua za mwisho za kuachana nakazii hii pia hasa baada ya kuwekeza mahala na kujiendeleza kielimu nilipenda sana kua mwalimu lakini mazingira ya kazi hii nimagum mno hasa unapo dhani itakufikisha mahala flani kwakuitegemea yenyewe tu!

usiache kazi kwa asira inahitaji maandalizi yamsingi ya kiuchumi na kisaikolojia na utayari wa moyo na kujiamini kulikotukuka kuwekeza kutoka kwenye mazoea ya mshahara mpaka kujilipa mshahara! jipe miaka 10 ukijipanga na kuwekeza then achana nayo maana siioni futre ya kazi hiyo since hata walioko humo kwenye wizara hiyo wengi sio creative bali offensive wataalam wa vitisho na kauli za dharau huku wakiwa na taalumandogo sana na ofisi walizomo.

Hii hoja yako ni ya ukweli kabisa. Like kwako mkuu
 
Ndio maamuzi niliayoamua na hapa nafanya mpango kukusanya vyangu huku nilipo, najua life litazonga ila kipimo cha akili ni ugumu wa maisha, ipo siku nitatoka tu. Siwezi kuwa mtumwa kamwe.

Nilisimamia mitihani ya kidato cha pili, mtihani umeisha hatukulipwa hadi jana, jana watu wanalipwa nakuja kufatilia pesa yangu naambiwa jina langu halipo, leo nimuone afisa elimu, namuona leo anasema hakuna fungu nilisahaulika niandike Barua kufungua madai nitalipwa kwa OC (other chages) mafungu ya mkurugenzi.

Tafsiri yake ni kuwa limeshakuwa deni tayari hili, jasho langu, kila siku nilitumia tsh 8000 kwenda na kurudi kusimamia mitihani kwa siku saba. Kuja hapa halimashauri kutoka nnakoishi nakodi pikipiki elf 8 kwenda na kurudi kila siku, hapo bado kula, Nimetumia pesa eti leo nidai tena. HAPANA

Tangu nimeanza kazi nna miaka mitatu sasa ninaidai serikali, alafu leo niongeze tena kudai?

Kwa dhati ya moyo wangu nimeamua na sirudi nyuma, nimeachana na ualimu Rasmi, siwez kuwa mtumwa kwa haki yangu. Nita fight, nitatoka, sio wote wenye kazi ndio wanamudu maisha .

binadamu kamili lazima adai na adaiwe we kama udai hongera wengine huku tudaiwa sana tu
 
binadamu kamili lazima adaiwe na kudai bora yako unadai
 
Mkuu nakushauri usiache ualimu kwa sasa hata kama umepitia hizo changamoto badala yake fanya yafuatayo.
1: Andika madhila( mabaya) yote unayoyapitia kutokana na ualimu wako. Hii inaweza kuwa kutothaminiwa na serikali,kukaripiwa hovyio hovyio na wakuu wako, kupunjwa posho zako, vipindi vingi, kejeli za wanafunzi,kutopandishwa daraja,nk.

2: Fanya tathmini ya toka uajiriwe umefanikiwa kwenye kitu gani. Mfano umeweza kununua aseti gani, kiwanja?gari? nyumba? , au ni vitu vya kawaida tu kama simu,nguo nk? hivi vyote viorodheshe mahali. Mshukuru sana Mungu wako kwa chochote ulichofanikiwa.

3: Weka vitu ambavyo unavipata kwa sasa kwasababu tu ya kuwa mwalimu na pindi ukiacha huo ualimu utavikosa. Kwa mfano mshahara, bima ya afya, uwezo wa kukupo katika taasisi za fedha kirahisi zaidi, uwezekano wa kujiendeleza kishule nk.

4: Chukulia kuwa kweli umeacha kazi unadhani utakuwa unafanya kitu gani cha kuendesha maisha.yako. Hebu weka list ya maeneo ubayodhani wewe yangekusaidia kupata fedha sio tu za.kuishi bali za kukupa maendeleo zaidi kuliko ke kwenye.ualimu. Mfano biashara gani ungefanya, kilimo je, nk.

5: Angalia changamoto za hiyo kazi mbadala. Anza na mtaji utauotoa wapi, urasimu wake je, soko lake je, na changamoto zingine je?

6: Sasa nadhani utagundua kuwa kuacha kazi ya ualimu kwa mazingira yako sio jambo jema kwako na halitakuwa na tija.Hata kama utakopa hizo fedha kama.wadau wengine walivopendekeza kwakuwa hukujiandaa kisaikolojia utaishia kununua sim kali, flati skrini, labda na aridhi kidogo hela itakuwa imeisha na hapo ndipo laifu itaanza kuwa ngumu zaidi.

Mwisho.; Kwakuwa unadhamira ya kuacha ualimu tumia zile changamoto hapo juu kujipanga kimaisha. Weka lengo kuwa baada ya miaka kama 8 hivi kutoka sasa htaki tena kuwa mwalimu. Kisha anza kutafuta fursa huku ukitumia fani yako kipata mkopo wakukusaidia kuwekeza.kwenye fursa utakazoziona hasa ukizingatia pia kuwa kazi yako inakupa muda mzuri wa kusimamia shughuli zako pamoja na kukuunganisha na watu tofauti tofauti ambao wanaweza kukuamini kwakuwa tu wewe ni mwalimu.
KILA LA KHERI MKUU
 
kwa hyo umeona huku ndo utasaidiwa, ulofa uliokomaa kuach kazi kwa madai ya posho ya kucmamia mtihan, me nilifkir ni madai ya mshahara!!!
this iz intesive Idiot
 
Hao wote unawasema walikua walimu hujiulizi ni nini kiliwakimbiza wakaachana na ualimu? Jiulize walidumu na chaki kwa muda gani? Endelea kujipa moyo hapo.

wanajisemea tu kujipa moyo.. magufuli kafundisha mwaka mmoja tu katika maisha yake yote akakimbilia kuwa mkemia wa kiwanda mwanza huko.. majaliwa nae mwaka mmoja tu tena chuo cha ualimu kama mkufunz na akasepa..

sasa mtu mwalimu mwaka wa 5 huu huoni mabadiliko yoyote unasema.magufuli nae mwalimu
 
Mkuu sirudi nyuma, kabla ya kuwa mwalimu mie nilikuwa fighter kitaa na nilikuwa silali njaa. Siwezi kuwa mtumwa kwa haki yangu kabisa nnayohistahili.

Sasa ulitafuta ualimu wa nini ka si umbea? Acha den kaa kimya matangazo ya nini? Eti fighter unalia hadharani usaidiwe!
 
wanajisemea tu kujipa moyo.. magufuli kafundisha mwaka mmoja tu katika maisha yake yote akakimbilia kuwa mkemia wa kiwanda mwanza huko.. majaliwa nae mwaka mmoja tu tena chuo cha ualimu kama mkufunz na akasepa..

sasa mtu mwalimu mwaka wa 5 huu huoni mabadiliko yoyote unasema.magufuli nae mwalimu

Majaliwa amefundisha shule ya msingi 1988-2000 wastani wa miaka 12 sio kama ulivyoandika hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom