Ninaacha Ualimu tangu leo

Ninaacha Ualimu tangu leo

acha uamuzi wa jazba,,,,,,hizo ni taratibu za kawaida za malipo,,,ukianguka jitahidi kuamka tena na tena na tena,,utafanikiwa,,,jitahidi pia kuwa mjasiria mali pamoja na kazi yako maana mimi mwenyewe naitamani sana kazi yako maana inakupa muda wa kufanya ishu zake mtaani,,,kazi ninayoifanya ndugu inabana huna hata muda wako wa kupumzika,,,pia upambanaji....

Maandalizi ya lesson plan,teaching notes,scheme of work,teaching aids,upo zamu,unasimamia michezo ama shamba,uwashughulikie wapiga kelele ama watoro,utapata wapi muda wa kufanya kazi zingine kitaa?
 
Ningekuwa mimi nisinge acha kazi kizembe hivyo...
Nasalit kambi nafanya yangu Tz ya sasa uzalendo ni kutoa JASHO LA DAMU endelea na kaz ndugu.....ila fanya yako zaid, uskae shule chin ya kivul cha mti kama baadh ya walimu, usikubal kupoteza muda wako....Nina roho mbaya ckuhiz kama WAKUBWA wanasalit watz zaid ya m 40, me hawa mia tyu...ukigundua hii kitu hutofkilia kuacha kaz br, taaluma yangu n kwa ajil ya pesa ictoshe nmeipata kwa GHARAMA NA TAABU NYINGI.
 
Pole sana, hebu tuliza jaziba.Ingekuwa hawakupi mshahara hapo sawa,lakini ni pesa ya ziada ambayo hata ukipewa bado ni ndogo.Chakufanya,tafuta cha kufanya kwanza ukishapata ndio uache huu ualimu
 
Mkuu sirudi nyuma, kabla ya kuwa mwalimu mie nilikuwa fighter kitaa na nilikuwa silali njaa. Siwezi kuwa mtumwa kwa haki yangu kabisa nnayohistahili.

Mkuu hongera kwa maamuzi yako kama hayajaongozwa na JAZBA.Naamini maisha ni popote pale.
Mkuu hongera kama ulijiandaa kabla ya leo.Naamini siku zitaendelea bila kuganda.
Mkuu hongera kama maamuzi yako umeamua na hapa hauhitaji tena ushauri wetu.
Anyway,kama unahitaji ushauri wetu,nakushauri fikiria mara mbili zaidi.Huwa siku zote kwamba,"unaweza kuwa mtumishi na ukafanya activities zingine,but huwezi kuwa na activities zingine UKAJIPACHIKA utumishi"
Nakutakia kila la kheri huku nikikushauri USIKURUPUKE...ikiwa umedhamiria kuomba ushauri wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom