figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,099
Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025.
Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa.
Majina yao yatakuwa hadharani.
Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu Barua.
Nimemuomba hela zinazotengwa kwaajili ya kuwawezesha Vijana, kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027, itengwe hela ya kujenga Mnara Jijini Dar.
Nimependekeza Mnara Ujengwe Kimara, Ubungo au Magomeni.
Wana Jamiiforums, nini kifanyike ili kufanikisha hili? Au tuwaombe wanasiasa Watusaidie?
Naomba mawazo yenu ya Kujenga Mnara. Nifanyeje ili kufanikisha?
Ubungo Mnara utajengwa pale kwenye kituo cha Polisi External aau Karibu na Tanesco au njia ua kwenda chuo Kikuu Mlimani.
Lengo ni kuwakumbuka wale wote waliokufa kwa tabu bila hata matibu sababu ni wengi hawana hesabu.
Polisi hiki kikombe ni chenu. Hamtakiepuka...
Samia toa hela tujenge mnara wa kumbukumbu ya 29 Oktoba 2025