Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

Inasikitisha sana kuwa na wapenzi wawili kwa wakati mmoja siyo shida ila shida ni jinsi ya kuwaleta gheto, wanaume wanazidi kupungua.
 
Wewe ni wa mkoani. Waambie kuwa una brother hapa mjini ana mishe zake huwa anakuita umsaidie weekends. Weekend moja unakuwa na huyu, mwingine unamwambia uko kwa brother na next weekend hivyo kwa mwingine. Cha msingi wasijuane, majirani hawana namna waache wakodoe mradi usiruhusu waongee na yeyote. Piga marufuku demu kuja bila taarifa. Kwanza hutakiwi kupanga na mwenye nyumba. Vizuri zaidi kuwa nao vyuo tofauti itakupatia muda kuwa bize na mambo yako.

Nimekuwa hivi kwa vile siko romantic na sipendi kugandana kwa hiyo sometimes napigwa sanctions nikitaka huduma. Nalazimika niwe na back up plan, in case TANESCO wanazingua kuwepo solar, likizingua kuwepo generator. Ila mambo haya ni ubatiri.
 
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa dar es salaam.

Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua..

Tatizo Ni kwamba wao huwa wanataka kuja ghetoni kwangu kushinda na kulala...

Rakini Mimi naogopa Sana... Naona Kama Ni utomvu wa Nidhamu nyumba nilipanga...

Pia naona Kama jamii itanichukulia vibaya Sana .. ukizingatia naishi nao Kama ndugu hasa mama mwenye nyumba ....

Naombeni ushauri ndugu zangu! Kuna mmoja hapa anataka kuniacha kisa, sitaki aje geto..

Ahsante
Sasa kwa nini umeamua kuharibu resources za wazazai wako kwa uasherati.jaribu tu kukumbuka wanavyostrugle kukutafutia hela ili wewe usome.halafu mwenyewe unafanyia umalaya. sawa kweli ?
 
Ndugu yangu! Sawa ... Sasa hisia zangu unataka nipeleke wapi??
Sex Ni Basic need kwa kijana.
 
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa dar es salaam.

Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua..

Tatizo Ni kwamba wao huwa wanataka kuja ghetoni kwangu kushinda na kulala...

Rakini Mimi naogopa Sana... Naona Kama Ni utomvu wa Nidhamu nyumba nilipanga...

Pia naona Kama jamii itanichukulia vibaya Sana .. ukizingatia naishi nao Kama ndugu hasa mama mwenye nyumba ....

Naombeni ushauri ndugu zangu! Kuna mmoja hapa anataka kuniacha kisa, sitaki aje geto..

Ahsante
Dah
Msomiiii
 
Hisia huwa zina Sikiaga ukizikemea,pia fanya ibada.Mwili siku zote usiuendekeze huwa hauriziki,si unaona tayari una wasichana wawili ambao huko mbeleni utapata usumbufu mkubwa.chukulia tu mmoja anakushitukia kwamba una mwanamke anaamua kujiua anajiua kwa ajili ya wivu baada ya kuacha kimemo,vipi itakuwa .uambie mwili wako utulie usome kwanza mpaka utakapo oa

si unaona hata mwenyewe unaona haifai kuwapeleka hapo geto kuhofia kuharibu reputation na mama mwenye nyumba.si unaona unavyochukuliwa kwamba wewe ni mwanafunzi uliyetulia.Sasa kwanini uhangaikie tamaa za mwili namna hiyo.pia naona kabisa jinsi unavyopoteza hela kwa ajili ya hao wasichana,hela unazozipata kwa shida
Ndugu yangu! Sawa ... Sasa hisia zangu unataka nipeleke wapi??
Sex Ni Basic need kwa kijana.
 
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa dar es salaam.

Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua..

Tatizo Ni kwamba wao huwa wanataka kuja ghetoni kwangu kushinda na kulala...

Rakini Mimi naogopa Sana... Naona Kama Ni utomvu wa Nidhamu nyumba nilipanga...

Pia naona Kama jamii itanichukulia vibaya Sana .. ukizingatia naishi nao Kama ndugu hasa mama mwenye nyumba ....

Naombeni ushauri ndugu zangu! Kuna mmoja hapa anataka kuniacha kisa, sitaki aje geto..

Ahsante
Umaskini mwingine mnajitakia tu wenyewe, anyway kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kupanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom