Hisia huwa zina Sikiaga ukizikemea,pia fanya ibada.Mwili siku zote usiuendekeze huwa hauriziki,si unaona tayari una wasichana wawili ambao huko mbeleni utapata usumbufu mkubwa.chukulia tu mmoja anakushitukia kwamba una mwanamke anaamua kujiua anajiua kwa ajili ya wivu baada ya kuacha kimemo,vipi itakuwa .uambie mwili wako utulie usome kwanza mpaka utakapo oa
si unaona hata mwenyewe unaona haifai kuwapeleka hapo geto kuhofia kuharibu reputation na mama mwenye nyumba.si unaona unavyochukuliwa kwamba wewe ni mwanafunzi uliyetulia.Sasa kwanini uhangaikie tamaa za mwili namna hiyo.pia naona kabisa jinsi unavyopoteza hela kwa ajili ya hao wasichana,hela unazozipata kwa shida