willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,026
- 1,179
Ndugu zangu naombeni ushauri hata mwezi sina kazin ila niliowakuta kazini tumetokea kutofautiana kimtazamo na maono sasa imekua kama vita kazini kila kazi wanataka mimi nifanye eti kisa mimi ni Engineer.
Kazi nilipata kwa interview nikaambiwa mafundi wapo wazoefu tu ila hawana plan ya kazi so boss alitaka nikaongeze kitu kazini kwake maana mashine zinasumbua sana kazi haiendi waliopo ni wazoefu tu miaka hata 30 inafika kwemye ufundi.
Mimi nina miaka 4 ufundi sasa imekua vita sio kazi tena naona siwezi kuservive hata miezi 6.
Nimeajiliwa kama engineer plan nazowapa wanaona kama nawadharua sasa ni live live kabisa utasikia unanidharau hapa nafikiria nimalize mwezi nitembee zangu. Naombeni ushauri