Mdogo wa mke wg ana mimba yg ,hataki kutoa

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,824
Mimi sitaki ushauri, nataka tu uniambia kama kuna namna ambavyo ninaweza kufanya mimba ikatoka bila mhusika kujua. Mimi ni Baba wa watoto wawili, nina miaka 42, nimeoa na mke wangu yuko vizuri, ana kazi nzuri kuliko mimi, ana kipato kikubwa kuliko mimi na yeye ndiyo kila kitu. Mimi nafanya tu Biashara tena Biashara yake.

Kuna mambo yaliyokea nikaharibu maisha yangu ila sitaki kuyazungumzia. Sababu ya kuja kwako ni hivi, shemeji yangu ana mimba yangu, mke wangu anapenda kusiadia ndugu, hapa kuna ndugu zangu wanne na mdogo wake mmoja. Kuna wakati nilipitiw anikaanzisha mahusiano na mdogo wake ana miaka 19.

Basi amebeba mimba yangu na kibaya zaidi hataki kutoa, haka katoto nilikadanganya sana naona kameamini kuwa naweza kumuacha dada yake kwaajili yake. Ukweli nikuwa siwezi, sina kitu hapa nikiondoka sina pakwnda, nyumba ninayoishi ni ya mke wangu na yeye niyo anahudumia ndugu zangu. Natuma matumizi nyumbani kila mtu anajua ni mimi ila ni mke wangu mimi ni kama sina kazi.

Nilishafukuzwa kazi miaka 7 iliyopita lakini si ndugu zangu si yoyote naayejua, hata Mama yangu mzazi hajui, mke wangu kanilindia siri, siwezi kumuacha huyu mwanamke kwani nitaadhirika. Sasa nisaidie hata kuongea na huyu mtoto atoe hii mimba kwani naona kashaanza kiburi kwa dada yake, ni kama anajua nitamfukuza dada yake, naongiopa kuongea naye kwa ukali kwani ni katoto kanaweza kuropoka, nisaidie nifanye nini?
1698753521893.jpg
 
huu upuuzi wa vitoto vya jf kuleta nyuzi za kitoto na kudhani wote hapa ni vitoto venzao utaisha lini?
 
Mimi sitaki ushauri, nataka tu uniambia kama kuna namna ambavyo ninaweza kufanya mimba ikatoka bila mhusika kujua. Mimi ni Baba wa watoto wawili, nina miaka 42, nimeoa na mke wangu yuko vizuri, ana kazi nzuri kuliko mimi, ana kipato kikubwa kuliko mimi na yeye ndiyo kila kitu. Mimi nafanya tu Biashara tena Biashara yake.

Kuna mambo yaliyokea nikaharibu maisha yangu ila sitaki kuyazungumzia. Sababu ya kuja kwako ni hivi, shemeji yangu ana mimba yangu, mke wangu anapenda kusiadia ndugu, hapa kuna ndugu zangu wanne na mdogo wake mmoja. Kuna wakati nilipitiw anikaanzisha mahusiano na mdogo wake ana miaka 19.

Basi amebeba mimba yangu na kibaya zaidi hataki kutoa, haka katoto nilikadanganya sana naona kameamini kuwa naweza kumuacha dada yake kwaajili yake. Ukweli nikuwa siwezi, sina kitu hapa nikiondoka sina pakwnda, nyumba ninayoishi ni ya mke wangu na yeye niyo anahudumia ndugu zangu. Natuma matumizi nyumbani kila mtu anajua ni mimi ila ni mke wangu mimi ni kama sina kazi.

Nilishafukuzwa kazi miaka 7 iliyopita lakini si ndugu zangu si yoyote naayejua, hata Mama yangu mzazi hajui, mke wangu kanilindia siri, siwezi kumuacha huyu mwanamke kwani nitaadhirika. Sasa nisaidie hata kuongea na huyu mtoto atoe hii mimba kwani naona kashaanza kiburi kwa dada yake, ni kama anajua nitamfukuza dada yake, naongiopa kuongea naye kwa ukali kwani ni katoto kanaweza kuropoka, nisaidie nifanye nini?View attachment 2871104
Hehehe
 
Hizi chai uwe unanywea huko huko jikoni...

JF weka vitu vinavyokuhusu, sio watu wanatoa ushauri kwa muhusika hewa...
 
Back
Top Bottom