Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Sorry sana ndugu, ila nasikia kuna option ya kuziondoa ama kuchoma sindano zenye dozi za mionzi kila baada ya muda ili kuondoa hivyo viashiria vya cancer, kwa nini huku opt hizo sindano badala yake uka opt kuondolewa kabisa?
 
Sikia nikwambie. Chakula ndio source nzuri ya hormone unayotaka iwe very active mwilini. Kwa mfano wewe hebu tuambie ulaji wako umekaaje?!

Unaweza kuta unakula vyakula vya hormone husika ila unaharibu kwa kula vyakula vinavyosuppress uzalishaji wa hiyo hormone at the same time life style yako unatabia ambazo zinasuppress pia rutuba ya hormones unazozitaka.

So nadhani jambo la msingi kuelewa ni kuwa dawa ni supplements tu na sio direct source ya kurutubisha hizo hormones unataka.

Yaani ni sawa uwe na upungufu wa Vitamin C au madini fulani mfano ya chuma then useme the only option ni kwenda pharmacy kununua Vitamin C and Iron mineral supplements eti ndio ziwe primary source za kurutubisha mwili wako badala ya kuwa boosters tu.

Nadhani vijana mnacheza na kitu kinaitwa NUTRITIONAL KNOWLEDGE, labda nikiandika English ndio italeta maana na uzito kwenye kunielewa.

Haya ndio matatizo ya kutokufanya somo la lishe kuwa somo basic kuanzia nyumbani hadi mashuleni.
Muongozo tafadhari,naomba kufahamu hiyo aina ya vyakula navyopaswa kula ili nisitumie TRT yaani vyakula viweze kunizalishia hormones na kusimama kwenye nafasi ya korodani.
 
Sorry sana ndugu, ila nasikia kuna option ya kuziondoa ama kuchoma sindano zenye dozi za mionzi kila baada ya muda ili kuondoa hivyo viashiria vya cancer, kwa nini huku opt hizo sindano badala yake uka opt kuondolewa kabisa?
ni mawazo ya madaktari ndiyo walinipatia hiyo option tena wakiwa wameisha nipasua (surgery) na nilipowaomba waniachie walau moja wakasema wao ndiyo madaktari wanafahamu kipi bora kwa afya yangu 😥😥, sikuwa na chaguzi zaidi ya kuwaacha wafanye kazi yao.
 
Hormones zinatengenezwa na chakula. Chakula ndicho kinaamua uwepo wa hormone fulani kwa kiwango sahihi si vinginevyo.

Sasa asipokula chakula sahihi cha kuamsha secretion ya hormones anazotaka kuingia katika damu na kusambaa maeneo zinapohitajika mwili how will that ever be possible?
Elezea kwa undani zaidi na utuoneshe makundi ya vyakula na uzalishaji wa hormone unakuwaje.
 
Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.

Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.

Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda mrefu,kupungua umakini wangu,kuwa mtu wa msongo wa mawazo kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kupungua kwa mwili (kudhoofu mwili).

Nilirudi kumuona daktari akanieleza nina (Low testosterone (male hypogonadism) akanipatia dawa ya kuchoma kila mwezi ila inachosha, nimesikia ipo ya kupaka (gels) na vidonge (capsules).

Nimeipenda ya kupaka yaani Gel TRT au Cream,sasa je nitaipata wapi pale hospital hawa dawa hiyo msaada tafadhari....
Hormonal therapy ndio tiba yako ya kwanza...na hizo injectables ndio zinakufaa kwa hali yako plus ule vyakula vinavyoongeza hizo hormones na kufanya mazoezi
 
Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo.

Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia.

Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda mrefu,kupungua umakini wangu,kuwa mtu wa msongo wa mawazo kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kufanya mapenzi na kupungua kwa mwili (kudhoofu mwili).

Nilirudi kumuona daktari akanieleza nina (Low testosterone (male hypogonadism) akanipatia dawa ya kuchoma kila mwezi ila inachosha, nimesikia ipo ya kupaka (gels) na vidonge (capsules).

Nimeipenda ya kupaka yaani Gel TRT au Cream,sasa je nitaipata wapi pale hospital hawa dawa hiyo msaada tafadhari....
Pole sana mkuu
 
Sasa vyakula bila engine ya kuzalisha hormone inakuaje...... Naona jamaa anahitaji hormone direct ila sio vitu vya kusaidia kuzalisha hormone maana mitambo si haipo ya uzalishaji
We fala kweli kweli nimefurahi sana japo inaumiza
 
Back
Top Bottom