Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

paqwa Unashangaa eeh..kwako ajabu sanaAisee mbona ni jambo dogo
sana kujua hilo wala hutumii akili kubwa ni kwa akili ndogo sana ya mtoto wa 6 years akisoma maandishi yako anaelewa kua unafoka..anaelewa kua wewe ni mtu wa Visirani..anaelewa kua wewe ni mtu usiejali Maumivu wala Hisia za waliokuzunguka

Kwa taarifa yako sio kufoka tu tayari nishakusoma ww ni mtu aina gani kuanzia kwenye ngazi ya family yako..kazini/Ofisini na kwa Jamii kwa ujumla

Maandishi yana reflect Personality yako kwa Asilimia 100 kwa ufupi yanakuelezea Uhalisia wako jinsi ulivyo

Kama hauna cha maana cha kuandika ni busara ukanyamaza tu
Kama wewe no boss sehemu fulani, naamini wafanya kazi wako wanafurahia uwepo wako/ubosi wako.

You're a genius!
 
Ndiyo hivyo walinieleza baada ya kuzitoa na sikuwa na namna nipo hapa kuziulizia hizo artificial (Testosterone Replacement Therapy) kifupi TRT . Msaada tafadhari.
Pooole sana kaka, hata hivyo you're a man!

Unahekima na ustaarabu was hali ya juu. I pray for you Kaka!
 
Pooole sana kaka, hata hivyo you're a man!

Unahekima na ustaarabu was hali ya juu. I pray for you Kaka!
Namshukuru muumba maana kukosa korodani pia kunaweza kukufanya kuwa na msongo wa mawazo,mpoteza kumbukumbu kwa haraka na mtu wa hasira za karibu.
 
Nihilist Asante kwa kunielewa..dont try to use anything kuhusiana na sex energies sijui vidonge vya kuongeza nguvu za kiume..yaan don’t dare kama unahitaji kuendelea kupumua
My advice!!

Contact with him for more advise madam!!

Nimeona kupitia wewe kuna mengi atajifunza mgonjwa. Una maneno ya faraja na unaonekana wewe ni mtaalamu was afya/daktari.

Ahsante
 
My advice!!

Contact with him for more advise madam!!

Nimeona kupitia wewe kuna mengi atajifunza mgonjwa. Una maneno ya faraja na unaonekana wewe ni mtaalamu was afya/daktari.

Ahsante
Lucas philipo Ahsante Mkuu nitafanya ivyo 🤍🙏
Nihilist kwa usharuri au chochote kile please usisite kunicheki PM..tuko pamoja🙏

Kama wewe no boss sehemu fulani, naamini wafanya kazi wako wanafurahia uwepo wako/ubosi wako.

You're a genius!
Namshukuru sana MWENYEZI MUNGU..ahsante Mheshimiwa🤍🤗🤗🤗🙏
 
Sasa vyakula bila engine ya kuzalisha hormone inakuaje...... Naona jamaa anahitaji hormone direct ila sio vitu vya kusaidia kuzalisha hormone maana mitambo si haipo ya uzalishaji
Hormones zinatengenezwa na chakula. Chakula ndicho kinaamua uwepo wa hormone fulani kwa kiwango sahihi si vinginevyo.

Sasa asipokula chakula sahihi cha kuamsha secretion ya hormones anazotaka kuingia katika damu na kusambaa maeneo zinapohitajika mwili how will that ever be possible?
 
Asante kwa kunielewa
Sikia nikwambie. Chakula ndio source nzuri ya hormone unayotaka iwe very active mwilini. Kwa mfano wewe hebu tuambie ulaji wako umekaaje?!

Unaweza kuta unakula vyakula vya hormone husika ila unaharibu kwa kula vyakula vinavyosuppress uzalishaji wa hiyo hormone at the same time life style yako unatabia ambazo zinasuppress pia rutuba ya hormones unazozitaka.

So nadhani jambo la msingi kuelewa ni kuwa dawa ni supplements tu na sio direct source ya kurutubisha hizo hormones unataka.

Yaani ni sawa uwe na upungufu wa Vitamin C au madini fulani mfano ya chuma then useme the only option ni kwenda pharmacy kununua Vitamin C and Iron mineral supplements eti ndio ziwe primary source za kurutubisha mwili wako badala ya kuwa boosters tu.

Nadhani vijana mnacheza na kitu kinaitwa NUTRITIONAL KNOWLEDGE, labda nikiandika English ndio italeta maana na uzito kwenye kunielewa.

Haya ndio matatizo ya kutokufanya somo la lishe kuwa somo basic kuanzia nyumbani hadi mashuleni.
 
Mkuu naona ni Bora utoe muongozo hapa.

1. Vyakula sahihi vya kula (kiasi na muda)

2. Vyakula ambovyo si sahihi kula

3. Life style ambayo pia ita accelerate hiyo secretion ya testesteron hormones.

Utasaidia wengi bro..
 
Back
Top Bottom