Nina ujauzito - nimekata tamaa

Nina ujauzito - nimekata tamaa

kuna wanawake wengi tu wameweza kulea watoto wao peke yao

unaweza ..usikate tamaa
 
njoo kwangu nikulee mwaya
just pm me ! nipo seriaz kbisa maisha ni haya haya
 
avatar47268_8.gif
hivi huyu ni wewe pia/ ulikuja pata ule mchumba kwa sababu naona na wewe umekata tamaa

hehehe huyo siyo mie, huyo kijana facial expression zake huwa zinanifurahishaga sana kule twitter...
asee nilimpata mbona kitambo tuu, mmachame saafi kama wewee tuu, hataki mchezo, ata nje sitoki kamwe...
raha ya wamachame kufikishwa kitonga mtu inabidi uwe umejipanga kweli kweli, ukiwa unaibia nje, ndani lazma utaumbuka
 
mtunze mmachame mwenzangu aisee ule raha ya dunia tafuta hela lakini usiache
 
njoo kwangu nikulee mwaya
just pm me ! nipo seriaz kbisa maisha ni haya haya
Smile hilo shepu apo loote lakoo???
ata mie nataka unlee ase...hehe avatar yangu yajielezaa nataka kulelewaje:love:
 
Last edited by a moderator:
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
ngojea uzae ili ufe peke yako...kiumbe usikiue......tena yelekea wewe ni changu wa kuwategemea wanaume, chakarika senge la kike wewe
 
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.

Hiyo sumu mbona inakuua pole pole hadi unapata nafasi ya kuingia Jf upo wapi nikuleteee nyongo ya mamba dada mbili tu utakuwa umeshamaliza shida zako
 
Sasa shoga ulivyopanua miguu bila condom ulitegemea nini...ningekupa pole km Ungekua umebakwa lkn kwa hiari yako hustahili pole we amua lolote cz utamu uliusikia wewe na shemeji..sisi hatukuwepo..kuna mambo ukifanya lzm ujiandae kwa lolote
si wangetumia hata mifuko myeusi ya sh mia
 
Habari za Kiintelijensia zinasema mleta mada kafa dk 5 baada ya kupost huu uzi.
 
Habari za Kiintelijensia zinasema mleta mada kafa dk 5 baada ya kupost huu uzi.
Malaika nakupenda Malaika

Na mimi nifanyeje ... kijana mwenzio ... nashindwa na mali sina eeeeeeee

Ningekuoa MALAIKA
 
Sasa unaomba ushauri au si umeshaamua unadhani hata ukiambiwa uache utaacha ok R.I.P in advance
 
mtunze mmachame mwenzangu aisee ule raha ya dunia tafuta hela lakini usiache

yani ndo mpango mzima ase...huyu mwanamke mwaka wa nne huu sasa, mvumilivu kweli, very humble, na cha msingi ndo hicho anakiu na maendeleo adi ananifanya nisizubae zubae,,apa ni kuzisaka mpaka aseme basi mwenyewe
 
ubarikiwe na ufanikiwe
 
Jack bila kukosea ulikuja hapa 2 weeks ago juu yahili na kusema umeachishwa kazi upo mwanza na jamaa yupo arusha na amekuambia usiwaambie ndugu..kikubwa kubali khali yako mpende sana kiumbe ulichobeba na waza yaliyo mema usikinenee mabaya kwa maana kiumbe ulichobeba kinajua wakati unaraha or uchungu anagalia sana mwanao wa kumzaa asije kukuchukia kutokana nanafsi yako ya kuwaza mabaya…

Kuna watu kibao wamezaliwa na kulelewa na mama zao bila baba ,kuna wamama wanahangaika kila siku kupata mimba na hawapati,kuna wanaumewanatamani kuitwa baba..hiyo ni zawadi kuna watu wanaitafuta jitunze.kuna watu wanaweza kukusaidia hata hapa kwenye post wameshajitokeza just pm mdogo wangu.Mtegemee MUNGU kwa maana hujui akuwazialo hilo ni jaribu yakupasa kushinda amin unaweza ulitenda dhambi za kuzini sasa unataka kuongeza mauaji...

wanawake tumeumbiwa roho ya upendo uvumilivu,usiri hata kama moyo unavuja damu huwez kujua iweje wewe utake kujidhuru pamoja na kiumbe ulichobebe
 
When a woman makes such a cry, I wanna drag her into a corner and bitch slap her little ass.

Don't you know you know you call the shots??
 
Jack bila kukosea ulikuja hapa 2 weeks ago juu yahili na kusema umeachishwa kazi upo mwanza na jamaa yupo arusha na amekuambiausiwaambie ndugu..kikubwa kubali khali yako mpende sana kiumbe ulichobeba na wazayaliyo mema usikinenee mabaya kwa maana kiumbe ulichobeba kinajua wakati unaraha or uchungu anagalia sana mwanao wa kumzaa asije kukuchukia kutokana nanafsi yako ya kuwaza mabaya…

Kuna watu kibao wamezaliwa na kulelewa na mama zao bilababa ,kuna wamama wanahangaika kila siku kupata mimba na hawapati,kuna wanaumewanatamani kuitwa baba..hiyo ni zawadi kuna watu wanaitafuta jitunze.kuna watuwanaweza kukusaidia hata hapa kwenye post wameshajitokeza just pm mdogowangu.Mtegemee MUNGU kwa maana hujui akuwazialo hilo ni jaribu yakupasa kushinda amin unaweza ulitenda dhambi za kuzini sasa unataka kuongeza mauaji...

Wanawake tumeumbiwa roho yaupendo,uvumilivu,usiri hata kama moyo unavuja damu huwezi kujua,kuwajibika iweje wewe utake kujidhuru pamoja na kiumbeuli
Wewe kichwa
 
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
pole sana,,usikate tamaa chukulia kama mapito..pengine ipo siku huyo mwanao atakusaidia..
Pole sana hilo lilolokupata ninaihisi hali uliyona nirahisi sana kusema maneno kama wale waliyo nitangulia kwa sababu tu halijawapata ninaomba usinywe sumu yeyote ni pm nipe namba yako tutaongea vizuri
umeongea ukweli mkuu...

Wewe nawe hujui kuwafariji wenye matatizo! Hujawahi kuuguza mgonjwa wa magonjwa yasiyotibika nini? Mfariji binti wa watu asiji restishe in peace.

watu humu hata hawajali....hawajui shida haina mmoja..
 
Back
Top Bottom