Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake.
Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni..
Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni changamoto hakuna solution
Je nitumie njia Gani kuleta amani na dada Yangu. Natamani tuwe na amani ili kujenga uhusiano mzuri wa kifamilia ila mwenzangu naona hasahau
Naombeni ushauri