leseni ya udereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Nina TIN Number ambayo sijawahi kuitumia kwa biashara yoyote zaidi ya kupatia leseni ya udereva, Je Tax Clearance nitadaiwa?

    Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva, Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara sasa? Je katika kupata Tax Clearance kutakuwa na complications zozote? Nawasilisha.
  2. samwel william

    SoC03 Vikwazo kupata Leseni ya Udereva hasa kwa Madaraja ya Class C na E

    Habar wapendwaa, leo nataka nishare na nyie changamoto iliyopo kwa sasa ukitaka kupata leseni ya udereva hasa kwa class C na E, nipasua kichwaaaa. Mimi ni dereva, leseni yangu iliisha muda nilikua nataka kuongeza mdaraja nipate C na hapa nimesoma veta course ya PSV ila balaa mfumo waliouweka...
  3. jaytravo

    Natafuta kazi ya udereva, nina uzoefu wa miaka miwili

    Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili Cv (1)Elimu Form 4 cheti (2)Cheti Cha Udereva Umri wangu miaka 26 0756912507
  4. bab-D

    Leseni ya udereva ikiisha muda, ina maana na utaalamu wa kuendesha umeisha?

    Naomba nielimishwe, leseni ya udereva ikiisha muda ulioandikwa inamaanisha na ujuzi unaisha? Kwa nini kama ndiyo hata vyeti vya taaluma basi tuwe tunabadilisha kila baada ya muda fulani. Pia kama Kitambulisho cha NIDA kimefutiwa ukomo basi na leseni ifutiwe. Au ni biashara?
  5. BARD AI

    Ukikosa Bima ya Afya hupati Leseni ya Udereva kuanzia mwaka 2026

    Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye hatakuwa na bima hiyo kuanzia mwaka 2026, hataweza kupata huduma zingine ikiwamo leseni ya udereva. Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa sekretatieti ya...
  6. R

    Tukisema tufanye jaribio kwa watu wanaomiliki leseni za udereva, wangapi watapopolewa?

    Ukiuliza watu wanaomiliki leseni za udereva walipata vipi leseni zao, asilimia kubwa watakwambia nilipiga mishe nikapita huku na kule nikapata leseni yangu. Wengi wa madereva hawa wanaomiliki leseni hizi hawajawahi kupata mafunzo rasmi ya udereva, jambo linalochangia kuwa na madereva ambao...
  7. rockrich

    Msaada kuhusu leseni ya udereva iliyokwisha muda wake

    Habari, Naomba msaada kwa wanaoelewa kuhusu mambo haya. Nimekuwa nikiishi nje ya nchi kwa muda sasa nimerud na lesen yangu ya udereva nimekuta tarehe ya ku-expire imeshapita yaani ni takribani miaka 3 tangu imexpire! imeexpire mwez 4/ 2019. Nimeskia skia maneno kuwa kwamba ikipitisha mika...
  8. Kiboko ya Jiwe

    Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

    Habari! Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew). Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number. Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu? Thanks
Back
Top Bottom