Nina raha jamani

Nina raha jamani

hahaha kapona jamani dear, madekezo yote niliyompa ataacha kupona tena?

Sikujua kumbe kapona dear wako ndiyo maana unarukaruka lakini natumaini bado hawezi kukabana vizuri kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh, chit chat kwa afya.
 
Dawa yako nakupeleka Kabakabana Bar&Gest House, si unajua kuna corridor nzuri tu, private space we subiri utaona. Usikatae mwaliko wangu lakini.

mhh nakuomba ulale kwa amani
 
Sikujua kumbe kapona dear wako ndiyo maana unarukaruka lakini natumaini bado hawezi kukabana vizuri kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh, chit chat kwa afya.

kapona viungo vyote lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom