Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #61
HONGERA,
KWA Da Pretty ni vice versa.
Sina raha lakini sina hasira kabisa.
whats wrong mamie,niPM if u need someone to talk to.
HONGERA,
KWA Da Pretty ni vice versa.
Sina raha lakini sina hasira kabisa.
Anasubiri raha yake ngoja nimpe tu.
Poa. Mie mzima wewe je?
ulikuwa unasubiri nini?
basi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako,umeze dawa na ule vizuri.
Hahaha! Yan hako katoto katundu kweli, we uliona wapi mtoto kazaliwa jana afu mbishi kulala? Bora umekalipua.hahahahah hakalali mpaka nimemlipua na kibao ndio kapata usingizi ninaona nichungulie hapa japo nione sura yako
kwa hiyo raha yangu ni kupendwa na bia?
Mh...sina hakika asee, hii ya kabakabana mpaka amekuja kuturingishia hapa ujue sio mchezo...lolMi bukheri wa afya vip weye ulisha wahi pata furaha kama kabakabana
Mi bukheri wa afya vip weye ulisha wahi pata furaha kama kabakabana
nilikuwa namsubiri FF
Mh...sina hakika asee, hii ya kabakabana mpaka amekuja kuturingishia hapa ujue sio mchezo...lol
asante kwa maombi.... hilo nanilifanyia kazi haswa maana ni nahamu yakuja eneo la kupata raha
Hahaha! Yan hako katoto katundu kweli, we uliona wapi mtoto kazaliwa jana afu mbishi kulala? Bora umekalipua.
Mie mzima BW khofu kwako.
vipi unataka umpe?
Ushikwapo shikamana...huyo ni mpenzi wa ukweli :hana wivu,mwaminifu n.k..hongera binti/dada/mama
ili iweje??
Mh...sina hakika asee, hii ya kabakabana mpaka amekuja kuturingishia hapa ujue sio mchezo...lol
Hahaha! Umeonae?Labda itakuwa jamaa kanywa supu ya pweza kaamua kumpa furaha mdada wa watu
Mimi nadhani ndo nitakuwa na furaha zaidi ya kwake pale ambapo nitampa hiyo furaha, ila kupendwa raha
hehehe basi ndo ufuate ushauri wa daktari eeh maana utapitwa na mengi huku