Nina raha jamani

Nina raha jamani

Kugongana?

Nitonye kuna sehemu niliona comment nikajua sitakuona kwa muda baada ya kuuliza mtindo uliotumika na wazazi wa fulani kumpata fulani, kwa kweli sikukuelewa ulikuwa unawaza nini akilini mwako?

Hapa tena unashangaa kugongana au hutaki?
 
hivi avatar yake ikoje?
 
Raha ya dunia ni mambo matatu, ya kwanza ni afya, ya pili ni mali ya tatu ya kupendwa.Jamani nina raha mwenzenu mpaka nimeshindwa kunyamaza.Kupendwa raha jamani lol najihisi niko peponi.

HONGERA,
KWA Da Pretty ni vice versa.
Sina raha lakini sina hasira kabisa.
 
Nitonye kuna sehemu niliona comment nikajua sitakuona kwa muda baada ya kuuliza mtindo uliotumika na wazazi wa fulani kumpata fulani, kwa kweli sikukuelewa ulikuwa unawaza nini akilini mwako?

Hapa tena unashangaa kugongana au hutaki?

Ujue watoto wanaopatikana kwenye ataili za ajabu vichwa vyao huwa na matatizo kama kichwa cha yule mtu
 
Nikitaka ugomvi eendelee nikumwambie dear wako ni D'Salaam, basi namaliza kwa kusema dear wako ni Arusha kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh, vipi hapo?

sijakusoma,hebu fafanua
 
Hulali wewe? Mtoto ( Preta ) umemwacha na nani? Mie nilimwogesha afu wewe kazi yako kumbembeleza alale.

hahahahah hakalali mpaka nimemlipua na kibao ndio kapata usingizi ninaona nichungulie hapa japo nione sura yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom