Kwanini unahitaji kusikia hii…

Kwanini unahitaji kusikia hii…

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
890
Reaction score
1,506
Bana nimekuja kuwaambia kitu kibaya sana, ukifikiri pesa ni suluhisho la kila kitu, subiri tu uone shida zake. Niko hapa nina pesa, lakini stress yangu ni kubwa kuliko ya mtu wa kima cha chini, watu wanakudanganya, wanakupenda kwa sababu ya mali, na hata raha ya kula chakula cha mtaani imepotea kwangu. Ila ukweli ni kwamba, hata hiyo stress ya kufikiria pesa ni bora kuliko stress ya kutokuwa na pesa, so kama mna nafasi, jitahidini kupata pesa kwa njia halali, lakini msiisahau kuwa pesa sio mungu wenu.
 
Eeh mkuu hapo umenena kitu kizito sana. Watu wengi wanaota hela tu, lakini ukifikia huko ndio unaona shida zake za kweli. Nimeona mtu mmoja anapata milioni kwa mwezi lakini kila siku anakula dawa za shinikizo la damu na usingizi haumpati. Wewe unayelalamika kima cha chini unaweza kulala fofofo usiku. Hapo ndio maana wanasema hela ni mtihani, si rahisi kuibeba kwa akili timamu..
 
Back
Top Bottom