FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
- #101
hivi huyu ni HE/SHE?
teteteteteh G acha maskhara !!
hivi huyu ni HE/SHE?
hapo chawa!Hahaha! Mwarubaini gesti hausi.
KUNGUNI wa kufa mtu
LAKINI MILA INADUMISHWA KAMA KAWA!
uwe unaangalia na gesti za kwenda!....buguruni mnyamani kuna foleni kubwa...ONA SASA UMECHELEWA
Kagague senksi uliyokula pale. Tinted na zidumu!Mwambie aende kwenye parking za Mlimani City afanyie kwenye gari kama liko tinted!
hapo chawa!
hehehe uzuri wa hizo unalipia kwa sekunde mtu anakomaa tu hata kama kuna foleni ya mtu 20 kwenye bench.
G ishu yako nimeambiwa tayari....ukacheki.
kwa EXIM?...........G ishu yako nimeambiwa tayari....ukacheki.
Sisi iwa hatuponzwi na subira!
Hahaha! Noted with many thanks!
kwa EXIM?...........
G ishu yako nimeambiwa tayari....ukacheki.
Hehehehe kuna Rest hausi moja ipo Baruti pale ni maarufu kwa chabozi ukiingia tu mtu zinajaa dirishani ndipo nilipo mfahamia Sinta kabla hajaanza kuwika kwa Luninga.
Mzee kumbe wewe ni mpiga chabo maarufu eehhhh....hebu nijibu swali nililomuuliza bht kwenye PM uwepo wa tiGo!
Mzee kumbe wewe ni mpiga chabo maarufu eehhhh....hebu nijibu swali nililomuuliza bht kwenye PM uwepo wa tiGo!
hahaaaaa mweeee!!!!! ilikuwa Kaizer na Nguli sasa na Fidel tena???? list itaendelea najua.....
hehehe!haya naipitia Babra nitamfikishia G
hahaaaaa mweeee!!!!! ilikuwa Kaizer na Nguli sasa na Fidel tena???? list itaendelea najua.....
Huelewi mi ni consultant wa tiGo??
Wengine wanawivu mzee wa chabo hana hiyana
najua we ni mtumiaji mzuriHuelewi mi ni consultant wa tiGo??