Nina na Sinta wako wapi?

nikutake radhi kwa lipi? Kama hutumii tigo basi unatumia voda kama hutumii hiyo basi zain au zantel au ttcl mobile ndo maana iwa unamwelewa tofauti masa.

kwa kunidhani mi natumia tigo........................
 
jamani nilikuwa nawatania tu,
SITAWAPIGIA!...naona wote mmekimbia sredi:D
 
Salari oooooh! salari o o o
nasema salari oooooooh! salari o o o

hahahahah nikome binamu yako unanilipa ww mie kama nilivyosema ni mamalishe magomeni migomigo wateja wangu wananilipa end of month
aaah hivi haya maelezo yote nampa nani Iribini......................?
 
hajalipa huyo!mi namuangalia tu
nitaenda streiti kwa mama matesha

hahaha anza nae kwanza ndo umalizie na bht ,fi..fi.del
mie bwana nimeamua nifanya mapema iribini ameni .. ..call u before next week
 
hahaha anza nae kwanza ndo umelizie na bht ,fi..fi.del

Hehehehe mm nilisha maliza siku mingi na maafa ya Kilosa nimesha changia we subili kwenye Luninga utaniona Ijumaa. Na wewe unangoja nn changia maafa ya mafuliko.
 
Hehehehe mm nilisha maliza siku mingi na maafa ya Kilosa nimesha changia we subili kwenye Luninga utaniona Ijumaa. Na wewe unangoja nn changia maafa ya mafuliko.

hahaha unachekesha wewe umekuwa yule nanihii
 
Sinta alitikisa vyombo vya habari kupitia magazeti kila kukicha sinta , sinta

Huyo dada siyo kwamba alitikisa vyombo vya habari tu...!!
Bali hapa mwanza aliwatikisa hata wafanyabiashara wakubwa wa samaki
chaajabu alipotea mwanza pasipo kujua kaelekea wapi.
Wafanyabiashara walikuwa wakiuziana tu! Sinta wa watu kama vle sangara
 
hapa ndipo kadada kalipochemka !!it was so sad
 
Hawa kina dada siku hizi wako wapi
Sinta alitikisa vyombo vya habari kupitia magazeti kila kukicha sinta , sinta

Nina alikuwa anaigiza katika kikundi cha kaole lakini sasa hajulikani yuko wapi na wala hasikiki kabisa

Mnaweza kunipa update za hawa ladies wako wapi kwa sasa na wanafanya nini
sanaa yao imekwisha ukiona wako kimya!
 
Na bosi wao babakilole? Naninaninani..... yule mbishi kwa kila kitu aliyekataa kuonekana kwenye runinga...... Naam, Jangala, yuko wapi naye kimyaa?

Leka
 
hivi dear, nilikuwanaperuzi na mwananchi, kuna face of afr, nidodose vigezo vyao kama wavijua...mweh

haya mamy kama sifa hizo unazojitose ;)

Vigezo ni rahisi; urefu sentimeta 174 (5’9”), kiuno kisichozidi sentimeta 64 (25”), mapaja yasiyozidi sentimeta 92 (36”) na umri kati ya miaka 18 na 27
 
Back
Top Bottom