Nina mpango wa kuacha chuo naombeni ushauri

mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
Duh we jamaa unatisha
 
Usiwaze sana mkuu, ngoja nikupe list japo kwa uchache walio dropout chuo
1. Bill Gates
2. Mark Zuckerberg
3. Steve Jobs
 
mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
Acha
 
Automatically umesha achishwa kwa incomplete coursework. Tafuta kitu kingine cha kufanya
 
mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
Njoo dar uuze madafu
 
Waambie wazazi ukweli, uliwaambia unaacha chuo lazima wakuulize kwanini unafanya ivyo?

Ni ngumu sana kwa mzazi kukuruhusu uache chuo ni ngumu haswa.
Umeshafanya makosa kubaliana na hali halisi , ili tuendelee na masomo lazima ufuate taratibu na vizuri unazijua.

Kuacha chuo je ni suluhisho la makosa yako? Unaacha chuo ili ufanye nini??

Ukweli ndio kitu cha muhimu sana kwako kwa sasa , ukisema uongo kwa sasa itabidi mbeleni useme tena uongo ili kucover uongo uliosema sasa na baadae tena itabidi useme tena uongo.
Series itakuwa uongo juu ya uongo .

CHAGUA UKWELI UTAKUWEKA UHURU .
 
Back
Top Bottom