Nina mpango wa kuacha chuo naombeni ushauri

UNACHEZA NA SHULE.
WENZIO WANATAMANI HIYO FURSA.
DAHHHHHHHHH

1. Ulipaswa ukazane usipate Supplementary.

2. Kama uliteleza ungekuja hapa jamii Forum Kuomba Mchango wa nauli kwenda kufanya mtihani Supplementary tungekuchangia kabisa.

3. Ushauri wangu.
Nenda karudie hilo somo, Utake usitake.

4. Majuto ni mjukuu.
Usije ukaliacha hilo somo.
Litakutesa sana Baadaye litakuwa Tanzi kwenye maisha yako.

Bado una safari ndefu sana ya Maisha.

MUNGU AKUFANIKISHE KATIKA NJIA ZAKO.
UKAZANE KUSOMA KUFA NA KUPONA UTAFANIKIWA.
 
Aje kwanza hapa Mianzini tumliwaze anaonekana ana stress bado.
 
UNACHEZA NA SHULE.
WENZIO WANATAMANI HIYO FURSA.
DAHHHHHHHHH

1. Ulipaswa ukazane usipate Supplementary.

2. Kama uliteleza ungekuja hapa jamii Forum Kuomba Mchango wa nauli kwenda kufanya mtihani Supplementary tungekuchangia kabisa.

3. Ushauri wangu.
Nenda karudie hilo somo, Utake usitake.

4. Majuto ni mjukuu.
Usije ukaliacha hilo somo.
Litakutesa sana Baadaye litakuwa Tanzi kwenye maisha yako.

Bado una safari ndefu sana ya Maisha.

MUNGU AKUFANIKISHE KATIKA NJIA ZAKO.
UKAZANE KUSOMA KUFA NA KUPONA UTAFANIKIWA.

Nashukuru mkuu
 
Waambie wazazi ukweli, uliwaambia unaacha chuo lazima wakuulize kwanini unafanya ivyo?

Ni ngumu sana kwa mzazi kukuruhusu uache chuo ni ngumu haswa.
Umeshafanya makosa kubaliana na hali halisi , ili tuendelee na masomo lazima ufuate taratibu na vizuri unazijua.

Kuacha chuo je ni suluhisho la makosa yako? Unaacha chuo ili ufanye nini??

Ukweli ndio kitu cha muhimu sana kwako kwa sasa , ukisema uongo kwa sasa itabidi mbeleni useme tena uongo ili kucover uongo uliosema sasa na baadae tena itabidi useme tena uongo.
Series itakuwa uongo juu ya uongo .

CHAGUA UKWELI UTAKUWEKA UHURU .

Kwa utaratibu wa chuo inabidi nirudie mwaka mzm nitoe gharama Tena upya nawahurumia wazazi
 
Jihurumie kwanza wewe kabla hujahurumia wazazi wako.

Uliwaambia wazazi kwamba umepata supp na unahitaji nauli wakakunyima?
Rudia mwaka mzima ndio, kubali makosa na tumikia adhabu ambayo ndio hiyo ya kurudia mwaka mzima.
Njia pekee ndio hiyo kama unahitaji kusoma , Hilo ni jambo lisilobadilishika hata ukienda kwingine bado miaka utakayosoma itakuwa hio hio mpaka upate diploma.

Umri wako Bado unakuruhusu jinsi unavyochelewa ukaacha chuo baadae utarudi miaka imeenda na utabeba hatia moyoni.

Hatia yenyewe utakuwa unaona unasoma na watoto na wewe ni mtu mzima , hatia juu ya hatia utaanza kujilaumu mara mbili zaidi
 
Umeoa na bado unasomeshwa na wazazi
Screenshot_20261104_153842_Chrome.png
 
Jihurumie kwanza wewe kabla hujahurumia wazazi wako.

Uliwaambia wazazi kwamba umepata supp na unahitaji nauli wakakunyima?
Rudia mwaka mzima ndio, kubali makosa na tumikia adhabu ambayo ndio hiyo ya kurudia mwaka mzima.
Njia pekee ndio hiyo kama unahitaji kusoma , Hilo ni jambo lisilobadilishika hata ukienda kwingine bado miaka utakayosoma itakuwa hio hio mpaka upate diploma.

Umri wako Bado unakuruhusu jinsi unavyochelewa ukaacha chuo baadae utarudi miaka imeenda na utabeba hatia moyoni.

Hatia yenyewe utakuwa unaona unasoma na watoto na wewe ni mtu mzima , hatia juu ya hatia utaanza kujilaumu mara mbili zaidi

Nashukuru Sana Mkuu
 
Linda sana mgongo wako mdogo wetu maana akili huna hata kidogo wasije wakakurubuni huko chuo bora tu usirudi.
 
sijui hali ya kiuchumi ya wazazi wako, kama wazazi walikuwa wanategemea makubwa kutoka kwako ukienda kuwapa hii taatifa itwadisapoint sana. Acha chuo kimyakimya, usirudi nyumbani hata iweje ili wasijue. Pambana sana kutafuta hela, siku unawapa taarifa uwe ushapata uelekeo wa kiuchumi ili wasiumie.

Changamoto ya kuwaambia mapema ni kwamba watakasirika na kuanza kutoa maneno ya kukulaani, karma works
 
mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
Acha tu. Ungekuwa unataka hicho chuo ungeomba msaada wa nauli kwenda kufanya sup. Ila inaonekana huna nia na chuo. Sio lazima uitwe msomi, ni bora uingie mtaani utafute pesa uitwe tajiri.
 
Waambie ukweli tu wazazi wewe si wa kwanza wala wa mwisho kupata SUP

Ukweli utakuweka huru ata mzazi akiwa mkali vipi we mwambie tu
 
sijui hali ya kiuchumi ya wazazi wako, kama wazazi walikuwa wanategemea makubwa kutoka kwako ukienda kuwapa hii taatifa itwadisapoint sana. Acha chuo kimyakimya, usirudi nyumbani hata iweje ili wasijue. Pambana sana kutafuta hela, siku unawapa taarifa uwe ushapata uelekeo wa kiuchumi ili wasiumie.

Changamoto ya kuwaambia mapema ni kwamba watakasirika na kuanza kutoa maneno ya kukulaani, karma works
Ushauri wa kijinga
 
SoMo nililopata supplementary Ni OFFICE PRACTICE niliikuwa nasoma astashahada ya FINANCE AND BANKING
Sasa kwanini usiende kulimalizia? Au nakupa option nyingine waeleze wazazi wako ukweli kama upo interested pia na mambo ya ufundi hiyo miaka miwili ambayo ilitakiwa usome dip 1 & 2 nenda kasome electronics VETA dodoma pale kama itatokea utaendelea NVA 3 basi mbeleni pale Don Bosco kaendelee sasa kuna Mechatronics. Ila uwe unapendelea hayo mambo vinginevyo kama si interested huko rudia hilo somo uendelee na NTA 5&6 upate hiyo Diploma yako.
 
mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
Gen Z mna matatizo sana. Yaani wazazi wamepoteza gharama kukusomesha wewe unakuja na mawazo ya kijinga. Acha chuo kisha hama nyumbani ukapambane na maisha. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom