and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,496
- 40,328
Mtoto wa kiume unaongea kama binti. Ni masikitiko sana. Ulipaswa kukaza kuanzia unaingia chuo. Ila ndio ukajilegeza kama hivi, mwishoni watu wataleta posa kwenu.Kwa utaratibu wa chuo inabidi nirudie mwaka mzm nitoe gharama Tena upya nawahurumia wazazi