Nina mpango wa kuacha chuo naombeni ushauri

Nina mpango wa kuacha chuo naombeni ushauri

  • Thread starter Thread starter guest-1793979523
  • Start date Start date
Wajinga huwa hawaachi chuo ila wenye akili.

Sasa wewe mjinga ukiacha mtaani ndio hutoboi kabisa

Rudi chuo kaondoe ujinga pumbavu

Umekula supp halafu unakimbia unafikiri kitaa kinataka watu wajinga?
 
MATAJIRI WENGI WAKUBWA WALIACHA VYUO COLLEGE DROPOUT

UKIJIELEWA UKAJITAMBUA UTAJITOA KWENYE MIFUMO YA KITWUMA ELIMU NA AJIRA ZINAKUFANYA MTUMWA...UKIFIKIA LEVEL KUBWA YA KUJITAMBUA WEWE HUTAKUBALI KUAJIRIWA AU KUSOMA HII ELIMU ,HII ELIMU INAKUFANYA UWE MJINGA...UWE MTUMWA WA KIFIKRA..


UKIANZA KUFIKIRIA KUACHA CHUO NA KUACHA AJIRA MANA YAKE ...UNA AKILI NYINGI SANA...UMEJITAMBUA
 
Back
Top Bottom