Nina mpango wa kuacha chuo naombeni ushauri

Bookkeeping

Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
92
Reaction score
202
mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
 
Acha Chuo. Unamtishia nani?
 
Acha tu. Sio lazima wote tusome
 
Mshauri awaambieje wazazi wake kwamba anaacha chuo maana wameshauza mpaka mashamba ya zabibu kwao Dodoma ili dogo apate kusoma!
Aache kwanza chuo. Sababu haikosekani hata kukaa kimya ni jibu tosha. Kama vipi tutafutane nimlee vizuri tu. Nina nyumba naishi Arusha (Mianzini) naishi mwenyewe na sina mke kwa sasa. Anipigie 0764253959 tu-enjoy life.
 
mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
Siku zote ukweli unamuweka mtu huru,kuliko kuendelea kuficha ni afadhali ukaweka wazi jambo Hilo kwa wazazi,nao ni binadamu watatoa maamuzi Yao,utadanganya Hadi lini ndugu?
 
mimi ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha IAA mwezi huu nilitakiwa nijiunge na diploma lakini Kuna SoMo moja nilifeli na sikuwa na uwezo wa kufanya supplementary kutokana na gharama za usafiri kutoka dodoma kwenda chuo Arusha kwakuwa sikufanya supplementary kwa utaratibu wa chuo Natakiwa nirudie like SoMo Kisha ndiyo niaanze Tena diploma alafu wazazi hawajui chochote naogopa kuwaambia kutokana na gharama walizotumia kunisomesha ninampango wa kuacha chuo naomba msaada wa ushauri
Wazazi wanakulazimisha usome wakati uwezo wako wa akili katika kusoma ni mdogo

Acha chuo ila usiwasumbue wazazi pambana kivyako katika maisha
 
Back
Top Bottom