Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Wana Jf kuna manzi mmoja ambaye ni mzuri sana amebarikiwa, ana asili ya kitusi. Miezi 3 ilopita tulipanga tukutane sehemu ili nimfaidi. Alikuja na akaniambia kuwa hataweza kunipa tunda kwa sababu amepata period jana,
na amekuja ili nisimuone mzushi. Mwezi ulopita tukapanga tena na nilipokutana naye akaniomba samahani na kuniambia wakati yuko njiani anakuja kapatwa na period.Na akaniomba nimpeleke dukani akanunue pad.
Juzi nikapanga naye tukutane akaja jana, Wakati najianda kula tunda akaniambia subiri kidogo, nikamuuliza nini? Akaniambia amepata period na sasa hivi ndio imemuanza.
Sasa wana Jf hii imekaaje? Kuna jinsi ya kutatua hili tatizo…….