Zaidi ya hayo ugali ni mboga,imagine ugali samaki au ugali kiimot kitimotoKua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym. Nenda usukumani na ukuryani, 97% ya main dish yao ni ugali lakini huwezi kukuta wako overweight.
Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine, wanga haukwepeki kwenye maisha. Saa kusema ugali ni mbaya halafu unakula wanga nyingine mfano kwenye mkate, cake, wali nk hapo ndip inaonyesha watu wengi wana elimu ama uelewa mdogo kuhusu wanga ama ni wajinga tu.
Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.
Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
Sijasema sipendi wanga, nimesema sipendi UGALIMbona sasa upo mlemle kwenye wanga??
SawaSijasema sipendi wanga, nimesema sipendi UGALI
mtuache na ugali wetu.Ngoja wasukuma waje
Inshallah 😂Nitakutana nazo keshooooooo🤣🤣🤣
Shindwaaaaaaa!Inshallah 😂
Shindwa piaShindwaaaaaaa!
Fact Mkuu .Ugali ni useless meal, hauna nutritional value zaidi ya kujaza tumbo. Cultural identity na dysfunctional cravings ndio Inatufanya tuamini ugal una faida mwilini. Kula ugali halafu nenda pima sukari utakuta imepanda. Ndio maana wagonjwa wa sukari na chronic inflammation hawaruhusiwi kula ugali . Kuna vyakula vingi vina high nutritional value na vinatosheleza/kushibisha zaidi ya ugali. Na unga wa sasa unatengenezwa kutoka kwenye cornstarch, mahindi mabichi ambayo inatengenezwa kutoka kwenye endosperm. Hata panya hawali hiyo endosperm wanakula embryo ya mahindi, sasa mnyama ana akili zaidi ya binadamu kwenye kula! Huko South America wanatumia kulishia mifugo. Tunakula ugali sio kwa nutritional needs bali cultural identity eti mwanaume lazima ale ugali. Kwa kuwa tunaangalia sana kwenye shelf madukani na supermarket tunaamini ya kuwa hakuna chakula kizuri zaidi ya unga na mchele wakati kuna vyakula kama viazi, maghimbi, maboga etc
Unaweza ukajiona msomi kumbe ni msomi mpumbavvu, ovyo kabisa wewe aliyekwambia mgonjwa wa kisukari hali ugali ni nani? Umesoma wapi msomi uchwara wewe?Ugali ni useless meal, hauna nutritional value zaidi ya kujaza tumbo. Cultural identity na dysfunctional cravings ndio Inatufanya tuamini ugal una faida mwilini. Kula ugali halafu nenda pima sukari utakuta imepanda. Ndio maana wagonjwa wa sukari na chronic inflammation hawaruhusiwi kula ugali .
Kwamba mtu anayekula ugali anakuwa kinyume na hivi ulivyosema hapa? Yaan anakuwa na makunyanzi usoni na mwili wake unadumaa?Faida za kutokula ugali ni mwili kunawiri, ngozi kung'aa na kutokuwa na makunyanzi ila jipange kwa bajeti.
Wee unafikiri ugali unalika tz pekee yake..Fact Mkuu .