Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,503
- 2,772
ugali na dagaa mchele"🥳🥳Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni wanuliza huu UGALI kapika nani?
Mimi najua jinsi ya kuusonga UGALI ila ndugu zangu especially dada zangu kupika UGALI ni zero kabisa hawajui.
Kama hujui sema sijui sio sipendi.
Wasioelewa hawawezi kukuelewaUgali umenikuza siwezi kamwe siwezi kuudharau.. Kwangu Mimi chakula ni ibada
Watu wasiojua kupika watakubishiaUgali ulioupikwa na TUI la nazi, unaanzaje kuudharau?!
ugali na dagaa mchele"🥳🥳..........usikuye jamaa labda mara yake ya kwanza kula ugali alikula ugala na nyanya chungu tupu.......au ugali na mgagani😂🤣 "
Binadamu pia ni mnyama acha shobo masikini mwenzetu weweKATAA UGALI, UGALI NI MATESO.
Kataa kudumaa
Kataa kula chakula cha wanyama
Yes, sasa utakuwa unajamba kwa raha zako😂Ndio nimemaliza kuula ugali halafu mboga ni mbaazi kwa karanga halaf fresh tu
Yes, sasa utakuwa unajamba kwa raha zako
Naunga mkono hojaKATAA UGALI, UGALI NI MATESO.
Kataa kudumaa
Kataa kula chakula cha wanyama
achani madharau, nyie matajiri.KATAA UGALI, UGALI NI MATESO.
Kataa kudumaa
Kataa kula chakula cha wanyama
Huyu Jamaa ni hovyo ..Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni wanuliza huu UGALI kapika nani?
Mimi najua jinsi ya kuusonga UGALI ila ndugu zangu especially dada zangu kupika UGALI ni zero kabisa hawajui.
Kama hujui sema sijui sio sipendi.