Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,015
- 4,362
Mbadala wale nini ndugu?View attachment 3389068
Oooh sababu ya sisi kudumaa hadi akili ni kwa sababu ya laaana , blah blah blah
NI UGALI, HAKUNA KINGINE
Achana na huyo muhaya yeye msosi wake ndizi na senene kila siku.Ukishindwa kubadilisha mlo ukajikuta kila siku unarudia ugali uleule lazima uone ugali ni mbaya... Siku ukiweza kubadilisha mlo mara kwa mara ndipo utajua utamu wa ugali 😁
Vyakula ni vingi tumejilimit tu kwenye ji-ugali ambalo hata halina ishuKatika hivi vyote ulivyovitaja chakula hapo ni mihogo na ugali tu
Wanasaka umaarufu!Hii ni hashtag au? Kila thread ugali this ugali tht. Whats going on?
Ebu bandika maji ya ugali nikuletee dagaa mchele au nyama chomaSi ndio hapo🤣
Juice ya miwa si yale yale tuJuice ya miwa na mayai ya kuchemsha hio ndio menu yake
Umeleta!"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "
Dagaa mchele will do😋😋😋Ebu bandika maji ya ugali nikuletee dagaa mchele au nyama choma
Uliza watu wanaoishi ughaibuni wanautafuta ugali kwa gharama kubwa sana,wewe unauchukulia powa kwa vile unaupata kirahisiVyakula ni vingi tumejilimit tu kwenye ji-ugali ambalo hata halina ishu
Wao waupende tu hata waule kwa dola ngapi mie siupendiUliza watu wanaoishi ughaibuni wanautafuta ugali kwa gharama kubwa sana,wewe unauchukulia powa kwa vile unaupata kirahisi
Kilichokudumaza ni SEMBE siyo Ugali,,, nyie viini mnawapa Panya na Nguruwe halafu mnabaki kufakamia makapi kwanini msidumae?View attachment 3389068
Oooh sababu ya sisi kudumaa hadi akili ni kwa sababu ya laaana , blah blah blah
NI UGALI, HAKUNA KINGINE.
Unakuta mtu anashindilia ugali usiku karibia mara 250 kwa mwaka, kinachofatia linapata constipation and hatari nyingine kiafya.
🤮🤮🤮
Kataa ugali, ugali ni mateso.
Inategemea uelewa wako kwenye Ugali unaishia wapi..Vyakula ni vingi tumejilimit tu kwenye ji-ugali ambalo hata halina ishu